Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
This is too personal!! Give us a chance to air out our views!!! We are members and we demand our rights and even our rights of expression!! Mwanakijiji has opened the floor for us!!Mbona uko kimya juu ya uwekezaji na uendeshaji wa mifuko mingine ya pensheni Tanzania ambayo inaendeshwa vibaya zaidi?
Hii yote ni ugomvi wako na Dau toka suala la Dr Masau na lile la magodown aliyokosa Reginald Mengi?
Let it go, wawakilishi wa wanachama na bodi wameridhia sera zao sasa kwa nini hutaki kukubali kuwa NSSF wanafanya ambayo wanachama wao wameridhia?
Kwa nini husemi kitu kuhusu ufisadi ulio tukuka TRA? Tatizo lako ni Dr RAMADHANI Dau na saa zingine hata kama una hoja lakini chuki yako binafsi kwa Dr ina negate chochote kile utakachokisema.
Hebu nenda PPF na kwingine na mpumzishe Dau.
Mbona uko kimya juu ya uwekezaji na uendeshaji wa mifuko mingine ya pensheni Tanzania ambayo inaendeshwa vibaya zaidi?

Mkuu kwanini tusijifunze kujibu hoja? hoja ni gawio la faida kwa wanachama wewe unaleta mtizamo wa chuki!
na hawa jamaa wa ccm ndio maana wanatumia kila njia iwezekanayo kubakia madarakani maana kuna neema nyingi zinazoweza kuwaijia wananchi kwa kubadilisha tu sheria kidogo.Katiba Mpya inahusika sana hapa! Ngoja Tuone CDM sera zake ni zipi kwenye Hii issue!! Kweli maana sie ni kama tumeweka hisa(share) zetu so lazima tupate Dividend kila mwisho wa mwaka!
Mbona uko kimya juu ya uwekezaji na uendeshaji wa mifuko mingine ya pensheni Tanzania ambayo inaendeshwa vibaya zaidi?
Hii yote ni ugomvi wako na Dau toka suala la Dr Masau na lile la magodown aliyokosa Reginald Mengi?
Let it go, wawakilishi wa wanachama na bodi wameridhia sera zao sasa kwa nini hutaki kukubali kuwa NSSF wanafanya ambayo wanachama wao wameridhia?
Kwa nini husemi kitu kuhusu ufisadi ulio tukuka TRA? Tatizo lako ni Dr RAMADHANI Dau na saa zingine hata kama una hoja lakini chuki yako binafsi kwa Dr ina negate chochote kile utakachokisema.
Hebu nenda PPF na kwingine na mpumzishe Dau.
This is too personal!! Give us a chance to air out our views!!! We are members and we demand our rights and even our rights of expression!! Mwanakijiji has opened the floor for us!!
Tunahitaji migao yetu kila mwaka!! Ninaumia sana ninapokuja hata kwa dai la haki mnajifungia na kuwa wakali kana kwamba hizo ni fedha zenu na serikali! Na hii tabia umeionyesha hapa ukitaka kumfunga mtoa uzi mdomo! spare us please!!
Mkuu, mbona kama umemshambulia Mwanakijiji sana kwa hoja yake aliyoileta? Nimesoma uzi wake na sijaona sehemu yoyote ambayo amemtaja Dr. Dau, kwa nini basi umshambulie kiasi hicho? Kama umekerwa na jina la NSSF kutumika ungeweza tu kupanua mjadala kwa kuongeza na majina ya mashirika mengine. Mimi binafsi nakubaliana na hoja ya Mwanakijiji manake kinachofanywa na NSSF na mashirika mengine ya pensheni ni wizi tu uliopitiliza. Si kweli kwamba wanachama wamekubaliana na hayo yanayofanywa na NSSF, shirika lisitumie udhaifu wa wanachama kutohoji kama tiketi ya kufanya kile litakacho hata kama mwisho wa siku hakuna faida ambayo mwanachama anaipata. Hizo mnazowekeza ni fedha za wanachama na ni lazima wafaidi matunda yanayopatikana kutokana na kazi inayofanywa na fedha zao. Huo ndo ukweli mchungu.
mbona uko kimya juu ya uwekezaji na uendeshaji wa mifuko mingine ya pensheni tanzania ambayo inaendeshwa vibaya zaidi?
Hii yote ni ugomvi wako na dau toka suala la dr masau na lile la magodown aliyokosa reginald mengi?
Let it go, wawakilishi wa wanachama na bodi wameridhia sera zao sasa kwa nini hutaki kukubali kuwa nssf wanafanya ambayo wanachama wao wameridhia?
Kwa nini husemi kitu kuhusu ufisadi ulio tukuka tra? Tatizo lako ni dr ramadhani dau na saa zingine hata kama una hoja lakini chuki yako binafsi kwa dr ina negate chochote kile utakachokisema...
Kweli mkuu huyu mbona anayeyusha hoja? Aseme pochi yetu tutapataje faida? au bado anataka kutetea kukopesha wasio wanachama na majambazi ya chama tawala; Hivi alilipa I mean waziri wa zamani Sumaye aliyedai wamemkopesha?jibu hoja hiyo ya gawio la faida kwetu sisi wanachama,,umeshupalia dau dau,,dau nani??
Au dau ndiye anaekuweka mjini??
jibu hoja hiyo ya gawio la faida kwetu sisi wanachama,,umeshupalia dau dau,,dau nani??
Au dau ndiye anaekuweka mjini??
hakuna hoja ya kujibu
kila kitu kuhusus nssf kilishasemwa humu
tumia search utapata tuu majibu yako na kama hujaridhika andika barua rasmi na utajibiwa
kweli mkuu huyu mbona anayeyusha hoja? Aseme pochi yetu tutapataje faida? Au bado anataka kutetea kukopesha wasio wanachama na majambazi ya chama tawala; hivi alilipa i mean waziri wa zamani sumaye aliyedai wamemkopesha?