NSSF, BOT, Bandari, TRA, Bunge, PSPF ajira zitenguliwe

Naona safari hii hata vilaza wanajifariji watapata kazi. Nyoo !!
 
Pamoja na mambo mengine kilichopelekea maboss wa NSSF kutenguliwa jana ni upendeleo katika ajira. Leo gazeti la Jamhuri limeonyesha jinsi Bunge linavyofanya upendeleo katika kutoa ajira.

Jana Bandari na BOT pia zililalamikiwa na taasisi ya SSRC, najua yatakuwa ni maamuzi magumu ila kwa manufaa ya taifa na kwa manufaa ya watoto wa masikini ambao hawana Godfathers katoka hizo taasisi ni sharti Rais pamoja na wizara ya utumishi itengue nafasi zote katika hizo taasisi ili ajira zitangazwe upya.

Najua kuna taratibu za kisheria ila katika hatua hii ya mpito kufata sheria sio muhimu sana la msingi ni kuhakikisha wananchi wote wanapata fursa na katika hili vijana wote watoto wa masikini na matajiri wapate fursa sawa.

Kama nchi tuko katika kipindi cha mpito. Tunamshukuru Mungu kutupa Rais Magufuli ambaye anafanya vyema sana. Tunamuomba katika hili la ajira aliangalie pia, kwenye taasisi za umma ajira zinatolewa kwa upendeleo kama njugu.
Mbona umesahau kuitaja Muhimbili?
 
Fanyeni kazi za kilimo au jiajiri, acha kuwa mnalalamika tu kila siku.
Degree zenu zitakuwa PASS, GPA >3.5 hawanaga shida maana wanaanzia kazi za kujitolea kufundisha shule za PRIVATE na Vyuo vya Private, angalau wanapata posho ya nauri, huku wakiangalia kazi mpya za serikali.
Nyie PASS ndo mnashinda mitandaoni kulalamika maana hamna mvuto kokote.
Kama >3.5 ndio hii kazi tunayo

Ata nauli mtu hajui kuandika anaandika "nauri" na ana > 3.5...[emoji36] [emoji36]
 
Duh! Nadhani wewe hata 'credits' utakua hauna so nenda kasafishe cheti mkuu..then urudi hapa uandike nauli sio nauri..
 
Pamoja na mambo mengine kilichopelekea maboss wa NSSF kutenguliwa jana ni upendeleo katika ajira. Leo gazeti la Jamhuri limeonyesha jinsi Bunge linavyofanya upendeleo katika kutoa ajira.

Jana Bandari na BOT pia zililalamikiwa na taasisi ya SSRC, najua yatakuwa ni maamuzi magumu ila kwa manufaa ya taifa na kwa manufaa ya watoto wa masikini ambao hawana Godfathers katoka hizo taasisi ni sharti Rais pamoja na wizara ya utumishi itengue nafasi zote katika hizo taasisi ili ajira zitangazwe upya.

Najua kuna taratibu za kisheria ila katika hatua hii ya mpito kufata sheria sio muhimu sana la msingi ni kuhakikisha wananchi wote wanapata fursa na katika hili vijana wote watoto wa masikini na matajiri wapate fursa sawa.

Kama nchi tuko katika kipindi cha mpito. Tunamshukuru Mungu kutupa Rais Magufuli ambaye anafanya vyema sana. Tunamuomba katika hili la ajira aliangalie pia, kwenye taasisi za umma ajira zinatolewa kwa upendeleo kama njugu.
HAPO UMENENE MKUU UMESAHAU BIMA ZA AFYA
 
Tulia wewe JPM anaenda hatua kwa hatua alianzia Bandarini, BoT, T. R. A na sasa ni NSSF
 
Watoto wa wakulima tunaajiriwa ualimu , askari na udaktari na ndo waliokuwa wanaongoza darasani ila mjanja ndo kaajiriwa nafasi nyeti na anakuendesha .daa inaumaaje
 
Idara gani Tanzania yenye watumshi Wenye sifa100% ? Tatizo la Watumishi wasio na Sifa ni Tatizo la Kitaifa Sio kiidara
Wabunge 90% Hawana sifa za kuwa Wabunge lakin ni Wabunge

sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika basi
 
Kama >3.5 ndio hii kazi tunayo

Ata nauli mtu hajui kuandika anaandika "nauri" na ana > 3.5...[emoji36] [emoji36]

Sasa umeandika nini mkuu,
This is a typing error, hivyo haiwezi batilisha >3.5
Kama we kilaza utabaki kuwa kiazi tu.
 
Pamoja na mambo mengine kilichopelekea maboss wa NSSF kutenguliwa jana ni upendeleo katika ajira. Leo gazeti la Jamhuri limeonyesha jinsi Bunge linavyofanya upendeleo katika kutoa ajira.

Jana Bandari na BOT pia zililalamikiwa na taasisi ya SSRC, najua yatakuwa ni maamuzi magumu ila kwa manufaa ya taifa na kwa manufaa ya watoto wa masikini ambao hawana Godfathers katoka hizo taasisi ni sharti Rais pamoja na wizara ya utumishi itengue nafasi zote katika hizo taasisi ili ajira zitangazwe upya.

Najua kuna taratibu za kisheria ila katika hatua hii ya mpito kufata sheria sio muhimu sana la msingi ni kuhakikisha wananchi wote wanapata fursa na katika hili vijana wote watoto wa masikini na matajiri wapate fursa sawa.

Kama nchi tuko katika kipindi cha mpito. Tunamshukuru Mungu kutupa Rais Magufuli ambaye anafanya vyema sana. Tunamuomba katika hili la ajira aliangalie pia, kwenye taasisi za umma ajira zinatolewa kwa upendeleo kama njugu.
Sijaelewa unajenga hoja gani na unao uhakika kwa kiasi gani. Hili litawezekana iwapo hao waajiriwa wataonekana hawana sifa. Zaidi ya hapo utakesha.
 
Duh! Nadhani wewe hata 'credits' utakua hauna so nenda kasafishe cheti mkuu..then urudi hapa uandike nauli sio nauri..

Dogo ndo maana unaangaika mtaani.
Hujui hata "assessment grades" at University Level.
Utakuwaje na >3.5 bila kuwa na Credits
 
MASIKINI SHAMBA NDYO HATMA YAKO HAKUNA JIPYA MI MWENYEWE NIMEONA NIFANYE KILIMO AJIRA NI STRESS NCHI HII NA KAMA HAUNA KITU NDYO MAUMIVU MAKALI...............
 
Back
Top Bottom