NSSF, BOT, Bandari, TRA, Bunge, PSPF ajira zitenguliwe

Kabisa Mkuu.... Chiku aliyekuwa mkurugenzi wa Utawala jana katumbuliwa kwa kuingiza zaidi ya watu 87 wasio na sifa.... Na kati ya hao 23 ni ndugu zake...

Idara gani Tanzania yenye watumshi Wenye sifa100% ? Tatizo la Watumishi wasio na Sifa ni Tatizo la Kitaifa Sio kiidara
Wabunge 90% Hawana sifa za kuwa Wabunge lakin ni Wabunge
 
Pamoja na mambo mengine kilichopelekea maboss wa NSSF kutenguliwa jana ni upendeleo katika ajira. Leo gazeti la Jamhuri limeonyesha jinsi Bunge linavyofanya upendeleo katika kutoa ajira.

Jana Bandari na BOT pia zililalamikiwa na taasisi ya SSRC, najua yatakuwa ni maamuzi magumu ila kwa manufaa ya taifa na kwa manufaa ya watoto wa masikini ambao hawana Godfathers katoka hizo taasisi ni sharti Rais pamoja na wizara ya utumishi itengue nafasi zote katika hizo taasisi ili ajira zitangazwe upya.

Najua kuna taratibu za kisheria ila katika hatua hii ya mpito kufata sheria sio muhimu sana la msingi ni kuhakikisha wananchi wote wanapata fursa na katika hili vijana wote watoto wa masikini na matajiri wapate fursa sawa.

Kama nchi tuko katika kipindi cha mpito. Tunamshukuru Mungu kutupa Rais Magufuli ambaye anafanya vyema sana. Tunamuomba katika hili la ajira aliangalie pia, kwenye taasisi za umma ajira zinatolewa kwa upendeleo kama njugu.

umesahau NHIF
 
Nafasi zipi zitenguliwe sasa???
Ni mpya au zile ambazo ajira tayari???
Be objective dogo.

mh. Rais alisema wale wafanyakazi waliopo BOT wasio na majukumu muhimu watapangiwa kazi nyinigne...

Jana mh. Rais ameagiza tena raia wote wanaofanya kazi ktk idara ya polisi watapangiwa kazi nyingne.

Inawezekana mtu kubadilishwa kutoka TAMISEMI kwenda serikali KUU au mtu akatoka BOT akapelekwa TAMISEMI... (job rotation).

ajira ya mtu inatenguliwa ikiwa kateuliwa nafasi nyingine au kukosa vigezo ktk sifa ya kazi husika.
 
Kuna ka ofisi kanakajua mtu ni muhudumu wa afya anafanya kazi za uhasibu huku kitaa degree kibao hawana ajira. Inabidi utaratibu ubadilike kabisa.
 
Kama kuna sehemu rais atakuwa ameleta mabadiliko ni kuhakikisha idara hizo zinapitiwa upya ajira zake. Huku kuna ajira nyingi sana zimepatikana kwa upendeleo wa wazi. Na kibaya zaidi waajiriwa hao wanafanya kazi chini ya kiwango bila kujali kwani wanajua hakuna anayeweza kuwagusa kutokana na vimemo vilivyowapa hizo ajira.
 
Unatakiwa usem serikali nzima ifumuliwe.tume ya utumishi nayo ni jipu
 
Ulitakiwa kusema serikali nzima ipanguliwe.

Waanze upya.

panga pangua ikifanyika kwa watumishi italeta mabadiliko ya utendaji.
watu wataacha kufanya kazi kwa mazoea na pia watazidisha ufanisi kwa kuogopa kuwajibishwa..

tatizo hilo jambo litagharimu pesa nyingi kuhamisha hao wafanyakazi.

Kuna ka ofisi kanakajua mtu ni muhudumu wa afya anafanya kazi za uhasibu huku kitaa degree kibao hawana ajira. Inabidi utaratibu ubadilike kabisa.

hilo nalo nitatizo..

utakuta mfanyakazi yupo lkn majukumu hamna... mf. kuwepo na afisa nyuki lkn wafuga nyuki hamna eneo husika.
 
sekretariati ya ajira ifanyiwe marekebisho,pia iwe karibu na wananchi wilayani.
 
Pamoja na mambo mengine kilichopelekea maboss wa NSSF kutenguliwa jana ni upendeleo katika ajira. Leo gazeti la Jamhuri limeonyesha jinsi Bunge linavyofanya upendeleo katika kutoa ajira.

Jana Bandari na BOT pia zililalamikiwa na taasisi ya SSRC, najua yatakuwa ni maamuzi magumu ila kwa manufaa ya taifa na kwa manufaa ya watoto wa masikini ambao hawana Godfathers katoka hizo taasisi ni sharti Rais pamoja na wizara ya utumishi itengue nafasi zote katika hizo taasisi ili ajira zitangazwe upya.

Najua kuna taratibu za kisheria ila katika hatua hii ya mpito kufata sheria sio muhimu sana la msingi ni kuhakikisha wananchi wote wanapata fursa na katika hili vijana wote watoto wa masikini na matajiri wapate fursa sawa.

Kama nchi tuko katika kipindi cha mpito. Tunamshukuru Mungu kutupa Rais Magufuli ambaye anafanya vyema sana. Tunamuomba katika hili la ajira aliangalie pia, kwenye taasisi za umma ajira zinatolewa kwa upendeleo kama njugu.
Naunga mkono Huu Uzi aisee.
 
kweli kabisa siku hizi watu wanapeana ajira kwa kufahamiana
 
panga pangua ikifanyika kwa watumishi italeta mabadiliko ya utendaji.
watu wataacha kufanya kazi kwa mazoea na pia watazidisha ufanisi kwa kuogopa kuwajibishwa..

tatizo hilo jambo litagharimu pesa nyingi kuhamisha hao wafanyakazi.

hilo nalo nitatizo..

utakuta mfanyakazi yupo lkn majukumu hamna... mf. kuwepo na afisa nyuki lkn wafuga nyuki hamna eneo husika.

Afisa nyuki ,kilimo na umwagiliaji Dar es salaam
 
Kumekucha. Bandari Bandari vilaza ni wengi saaaanaaaa! Acha watu wawe na adabu. Law firm ndio usiseme vilaza wamejazana. Oh nimesahau uhamiaji na Foreign Affairs huko ni balaa. Tanesco huko mkae mkao wa kusaga meno.
 
Safi sana ingawa wengi wataumia, ila maumiu kwa zamu, wale wenye vyeti safi waliumia sana kwa kuzunguka na bahasha mikononi bila ajira, sasa nao wanaweza angalau kutabasamu.
 
Back
Top Bottom