NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

Wakuuu nliacha kazi mwenyewe kwa kuandika barua hr akajibu amekubali ombi langu ila kwenda nssf wanazngua wanataka barua ya kuachishwa kazi na mwajir kagoma kuniandkia je nifanyeje
option 1: tafuta kazi nyingine katika kampuni nyingine ambaye atakuwa anakukata michango iwe hata ya miezi sita baada ya hapo akupe barua ya ukomo wa mkataba au kukamilika kwa kazi,kwa hivyo utaweza kulipwa pesa zako zote na NSSF.
2:andika barua ya kuhamisha michang kutoka kuwa ya lazima na uchange kwa hiara(skta zisizo rasmi)utachangia kwa kipindi cha miezi 18 angalau kila mwezi Elfu 20 baada ya hapo utachukua pesa zako kirahisi kabisa.
3:Kama una umri kuanzia miaka 55 unaweza kutoa pesa hizo kwa njia ya pension,ila utachukua pesa zote kama michango iliyopo kule iko chini ya miezi 180 ila ikiwa juu ya hapo utapewa kiasi kidogo cash zingine utachukua kila mwezi.
kazi kwako Boss kufanya maamuzi.
 
naomba kuuliza jinsi ya kuangalia salio la Nssf bila kwenda ofisin kwao
option 1:*152*00#ingia namba 3 kisha 6(NSSF) kisha 2(salio) ukitaka statement utaingia namba 3 kisha utaandika namba yako ya NSSF baada yapo subiri taarifa fupi kutoka NSSF juu ya hitaji lako.
2:Ingia Google andika NSSF- self service-Member portal-utajisajili kwa kuweka namba yako ya NSSF na Email address yako baada yapo utafanya verification ya akaunti yako ya NSSF na verifications Codes zitatumwa katika Email yako,kisha utakuwa umejisajili rasmi na huduma za NSSF,na utaweza kuangalia salio,kudowload statement pia kutrack hatua ambayo claims/madai yako yamefikia.

NB: ILI UWEZE KUFANYA HATUA HIZO ZOTE HAKIKISHA NAMBA YA SIMU UTAKAYOTUMIA NI ILE ULIYOJISALI NAYO NSSF KATIKA KIPINDI CHA KUOMBA USAJILI ,KAMA SIYO HIYO HAKIKISHA UNATEMBELEA OFISI ZA NSF ZA JIRANI YAKO ILI KUUPDATE TAARIFA ZAKO.
 
option 1: tafuta kazi nyingine katika kampuni nyingine ambaye atakuwa anakukata michango iwe hata ya miezi sita baada ya hapo akupe barua ya ukomo wa mkataba au kukamilika kwa kazi,kwa hivyo utaweza kulipwa pesa zako zote na NSSF.
2:andika barua ya kuhamisha michang kutoka kuwa ya lazima na uchange kwa hiara(skta zisizo rasmi)utachangia kwa kipindi cha miezi 18 angalau kila mwezi Elfu 20 baada ya hapo utachukua pesa zako kirahisi kabisa.
3:Kama una umri kuanzia miaka 55 unaweza kutoa pesa hizo kwa njia ya pension,ila utachukua pesa zote kama michango iliyopo kule iko chini ya miezi 180 ila ikiwa juu ya hapo utapewa kiasi kidogo cash zingine utachukua kila mwezi.
kazi kwako Boss kufanya maamuzi.
Hivi mkuu Prosperity96 unajua umetema madini tupu hapa.

Then hii option 1&2 ina-apply kwa employee wote (government & private) sio? Maana kusubiri ku-retire ni parefu sana kwa maisha haya. Na mtu unakuta hutaki kuacha hela kule, halafu ushaingia kwenye system.
 
shukrani sana! Ila hiyo inaweza kufanyika kwa mtu ambaye michango yake inaenda NSSF kwa PSSSF sina uzoefu nayo labda nifuatilie
 
Habari wapendwa,jamani Kuna shule Fulani mkoa Fulani hatujawekewa NSSF kbs,naomba ushauri tuanzie wapi coz naona rushwa inatumika Asanteni.
 
Habari wadau,

Nilifungua Claims NSSF wiki 6 zilizopita na sasa balance inasoma 0 siku ya nne sasa lakini akaunti yangu haina kitu.

Je hii ina maana kuna shida au niende nssf kuuliza ama niendelee kujipa muda, nawasilisha.

Ina maana ni zero
 
Hivi ukiajiriwa unajiungaje nssf, naambiwa mwajiri ndio anapeleka taarifa zako nssf sasa hapo napataje access kujua uanachama wangu kama ID ya nssf ili nikitaka hata kucheki salio iwe rahisi.
 
Back
Top Bottom