NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

Habari wadau,

Nilifungua Claims NSSF wiki 6 zilizopita na sasa balance inasoma 0 siku ya nne sasa lakini akaunti yangu haina kitu.

Je hii ina maana kuna shida au niende nssf kuuliza ama niendelee kujipa muda, nawasilisha.
Washa deposit checque kwenye akaunt yako, sikilizia within 72 hours mzigo utakua umeshasoma kwa akaunti yako.
 
Back
Top Bottom