NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

Baada ya kuandika barua yako ofisini si walikupa barua??


Hiyo barua ukimpata mtaalamu wa IT anaiscan Kisha anaiedit vizuri Kisha unaiprint

Hii mbinu ya kivita sharti uwe na IT mzuri
Huwa wanapiga cm ofisin kuhakikisha wakijua ume foji huchomoi
 
Ukiacha kazi mwenyewe Nssf hawakupi mzigo wako mzee wanataka had ufukuzwe

Niliwah kuuliza nikaambiwa wafanyakazi walikua wanachungulia mzigo kule Nssf wakion mzigo mrefu wanaacha kazi wanachukua mzigo wao wanaenda kufanya mishe zao

Hali hiyo ikawa ikataka kua mazoea na ikawa inahatarisha ustawi wa mfuko ndio sababu ya kipind kile Cha Jiwe ikatungwa Sheria hiyo ya kuzuia kutoa mzigo ukiacha kazi mwenyewe

Kwa Sasa ukiutaka mzigo lazima umpange mwajiri wako akuandikie barua ya kukuachisha kazi ndio unapata hela yako
Huo ni uhuni tu, mzigo ni wa kwangu sasa masharti mengi yanino
 
Wakuuu nliacha kazi mwenyewe kwa kuandika barua hr akajibu amekubali ombi langu ila kwenda nssf wanazngua wanataka barua ya kuachishwa kazi na mwajir kagoma kuniandkia je nifanyeje
Katafute kazi za muda wakuingizie michango miezi 3 tu na unawaomba barua ya kupungwa kazini unaenda kitoa pesa zako
 
Samahani wakuu kwenye nssf akaunti inasoma 0.00 na kwenye claim status imeandika pending hii inamaana gani?
 
Oya wakuu
Na mimi leo michango inasoma 0.0
Claim iko sehemu ya aproval na imeandikwa pending..ina maana gani hii kitu?
 

Attachments

  • Screenshot_20260831_164652_Chrome.jpg
    Screenshot_20260831_164652_Chrome.jpg
    27.2 KB · Views: 4
Oya wakuu
Na mimi leo michango inasoma 0.0
Claim iko sehemu ya aproval na imeandikwa pending..ina maana gani hii kitu?
Subir haitafika ijumaa,Hela yako itakuwa kwenye akaunti
 
Back
Top Bottom