Unajua Kentexa ofisi?

Unajua Kentexa ofisi?

keneddelly

Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
58
Reaction score
88
Una ofisi ya kupokea na kutuma mizigo ndani ya Tanzania?
kentexa inakupa mfumo wa kutoa risiti za kidigitali na Sms za papo kwa papo kwa Mteja wako..

Kentexa ni dunia nyingine ambayo inaenda kubadilisha kabisa watu tunavyofanya kazi kila siku..

Tanzania tulikosa muunganiko wa biashara ukianzia kwenye manunuzi ,usafirishaji mpaka mapokezi ..
tumekuwa tukitegemea kupigiana simu (mzigo wangu uko wapi?)

Kentexa sasa imefanya jambo
kwanza makampuni au ofisi za kusafirisha mizigo zitafanya kazi yao kidigitali kwa kupata mfumo unatoa risiti na kutuma message pale kifurushi kipya kinapotumwa..

pili , kupitia mtandao wa kentexa mtumiaji atakaetaka kutafuta makampuni ya usafiri ataweza kuyaona pamoja na offa za kila ruti ndani ya nchi..
do you know what? kentexa inakupa wateja wa kutuma mizigo bure 🤝
25E652C8-3F0B-4532-8067-E7091709B56B.png


Sio ofisi tuu ata wale wanaomiliki usafiri maybe fuso za mizigo wanapata kazi kutoka ofisi za kusafirisha..

mf: Ofisi A kariakoo ana vifurushi 100 vya kwenda mwanza anaweza ku-book nafasi kwenye fuso B online via kentexa..

je! wewe unamiliki ofisi au unamfahamu mtu ana ofisi ya usafirishaji na hana mfumo ??
mwambie atume email support@kentexa.com
au 0768341661
kama unaitaji kusoma zaidi kuhusu ofisi ya ya mizigo kentexa gusa hapa OFISI YA MIZIGO
 
Back
Top Bottom