Wanadau habari zenu.
Nina tatizo, PD-Proxy leo inanigomea kabisaaaaa kuconnect tangu mchana. Asubuhi ilipiga kazi vizuri tu, kuna muda umeme ulikatika ghafla na PC ikazimika while Proxy ikiwa connected. Jioni nilipotaka kuitumia ndiyo nikagundua tatizo, nimejaribu kubadilisha server mara kadhaa haijasaidia. Nipo Morogoro & natumia modem ya Vod...m(Huawei E303).
Kwenye dashboard ya Vod...m connection iko OK, Upload & Download zipo kati ya 0 kbps mpaka 13.74 kbps.
Mwenye ufumbuzi tafafhali, natanguliza shukrani.
cc: Mwl.RCT, donlucchese, njunwa wamavoko, Young Master & others.