Kada
Senior Member
- May 3, 2009
- 164
- 28
Jamani wadau naomba kuuliza. Unawezaje kuweka SNAPSHOT kama hiyo hapo juu? Tena imewekewa na michoro/miduara & mishale kuonesha eneo husika!!!!!!
Kuna program maalum ya kufanyia hayo maujuzi????
Natamani kujua.
Nawasilisha tafadhali.
cc: #Frank G, #chief-mkwawa , #Mwl.RCT & #njunwa wamavoko.