Now nashusha mzigo kwa pd proxy

Now nashusha mzigo kwa pd proxy

Yeah aisee watueleze maana hata kwangu ipo hivyo hivyo speed inaweza kuwa had 3.3mbps ila kwenye dashboard ya mtandao ila downloads ikipanda sanah ni around 200kbps ambayo pia hapo stable alaf aplications kama skype pia nazo siwezi tumia maana ipo slow,,tupeni maujanja wakubwa maana sie hatujiwezi,,natumia Vodacom

Jamani natumia PD-PROXY na speed ni nzuri inafika mpaka 2mbps ila katika IDM transfer rate haivuki 100kps nisaidien labda kuna kautundu kakuiView attachment 119153fanyia hii IDM.
 
wakuu kwa mnaotumia AirTel mwawezaje kuitumia bila kuweka ela maana kwangu inagoma connect bila kuwa na bundle na huwa ikijidisconect tu pale bundle itakapoisha,,naombeni ujuzi hapo.
 
Naona humu ni kutamanishana bna, haya anaefika hapa anyooshe mkono. Huku nlipo when i get 2-3MBps kwenye IDM ni bad news na worse day kabisa ni around 700KBps(like really worse, tene kwa VPN)
🙂 😉
GOODGUYSPEED.jpg
 
View attachment 121068

umetisha sana ila sidhani kama hiyo ni VPN kwa maana naona pd proxy haiko active
 
Naona humu ni kutamanishana bna, haya anaefika hapa anyooshe mkono. Huku nlipo when i get 2-3MBps kwenye IDM ni bad news na worse day kabisa ni around 700KBps(like really worse, tene kwa VPN)
🙂 😉
View attachment 121068

This is Photoshop
Maana huwezi pata speed ya 4MB/s afu page bado page pembeni mwa ile ya Youtube inakwambia PROBLEM LOADING THE PAGE
Na ni convince haupo BONGO au kama upo BONGO basi unatumia Optic fiber vinginevyo nakaataaa
Thats my observation
 
Wadau ninaweza unlock modem ya voda(ili ntumie line zote) na ikapiga mizigo kama kawaida kwa kutumia pd-proxy? Kwa aliyewahi fanya ivo anijuze, nisije kurupuka then nikakutana na majanga!!!!
 
mtafute jamaa anajiita njunwa wamavoko namba yake 0657209956
bei ya ku unlock ni 5000/- kama uwezi fanya mwenyewe
 
This is Photoshop
Maana huwezi pata speed ya 4MB/s afu page bado page pembeni mwa ile ya Youtube inakwambia PROBLEM LOADING THE PAGE
Na ni convince haupo BONGO au kama upo BONGO basi unatumia Optic fiber vinginevyo nakaataaa
Thats my observation
The connection isn't great but doesn't ever go below 1MBps. First ungeuliza what connection and the secret to the great speed i'm receiving, but saying its Photoshoped. Nah, wrong move. Nice day brother 🙂
goodguyspeed2.png
 
View attachment 121270

Ungesoma vizuri nilichokisema ungeelewa nilitaka kujua unatumia Connection gani na uko nchi gani?
Hiyo 1MB/s sio ajabu sana maana nimeweka screenshot page one inaenda 1.5MB/s
 
  • Ndugu Mchwechwele nipigie au nitumie PM, nitakupa 30 days PD Proxy premium account kama offer bure kwa mwezi mmoja.
  • Baada ya hapo utakuwa ukilipia tsh 8,000/- kila mwezi.
​Karibu Ndugu
 
mtafute jamaa anajiita njunwa wamavoko namba yake 0657209956
bei ya ku unlock ni 5000/- kama uwezi fanya mwenyewe

Tatizo sio ku-unlock mkuu.
Swali ni, JE NIKI-UNLOCK(Huawei E303 ya Voda) ITAPIGA KAZI KAMA KAWAIDA IKIWA NA LINE NYINGINE + PD-PROXY?????
Hilo ndo nililoomba kuelimishwa.
 
Back
Top Bottom