Now nashusha mzigo kwa pd proxy

Now nashusha mzigo kwa pd proxy

kichwanazi

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
89
Reaction score
9
HIGH TOM.JPG
 
mzigo wa korosho ama vipi mkuu!! Sikuelewiiii....
 
nawasiwasi na hiyo speed hapo, yaani dakika 13 kwa 411MB...!! Mi inacheza kwenye 300-500kbps na muda ndo huwa unakuwa una range hivo kwa 400-480mbs

Umesahau kufanya kitu kimoja 411-102=209MB
Ni vigumu kuamini lkn hiyo speed nimeipata kipindi cha nyuma Kidogo nikiwa na Modem ya Alcatel Onetouch na Ni Vodacom Tanzania
Pili hii sio Constant speed maana huenda siku hiyo ilikuwa ina range 700KB/s-1MB/s hivo hata Time calculation inaweza isiwe exactly na Hiyo ni Estimated time tu inaweza kuwa au Isiwe na Speed is never constant mara nyingi kwa speedd kubwa kama kama yangu hii
 
mnaanza kunichosha na snapshot za spidi. kama vipi muanzishe uzi mmoja muweke snapshot zenu hasa kichwanazi sijui huu uzi wa ngapi unaonesha idm yako inavodownload. la ntazimerge zote
 
Last edited by a moderator:
Mkuu basi la kijani su ni basi kuu kabla ya ajali iliolipa pancha na kufanya sahiv tunatembrlea Rim

Mkuu sijakusoma kabisa huenda hii saa sita ulikuwa umechoka na una usingizi emu nieleweshee ulichomaanisha
 
Duh kwa mie naona inatumia muda mwingi sana, tayari 25% na bado kama 13 mins.

Hivi inakuwaje nchi nyingine zao zinafanya haraka na hapa kila mtu anapenda kulalamika, Akiwa na file kubwa kuhamisha esp photos?
 
Depends na source speed or number seeders kama ni torrent, connection speed uliyonayo sio inayo determine download size

nawasiwasi na hiyo speed hapo, yaani dakika 13 kwa 411MB...!! Mi inacheza kwenye 300-500kbps na muda ndo huwa unakuwa una range hivo kwa 400-480mbs
 
Mkuu sijakusoma kabisa huenda hii saa sita ulikuwa umechoka na una usingizi emu nieleweshee ulichomaanisha

Nauliza hii spidi unatumia basi la kabang ama lile jekundu ambalo spid yake sahiv ni majanga baada ya ajali ya moto wakati ule
 
Nauliza hii spidi unatumia basi la kabang ama lile jekundu ambalo spid yake sahiv ni majanga baada ya ajali ya moto wakati ule

PD kwa kabang haijawa stable inadisconnect kila mara
Hiyo speed nimeipata kabla ya switch kuungua
 
Back
Top Bottom