Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

1% ya 1M ni 10,000
Pale nimetolea kamfano tu ka wanavyofanya calculation… we hata hujapiga hesabu mkuu unaanza kujudge neg.
Kwa mwaka ni asilimia 10 - 14% kwa mutual fund za bongo..
Kwamba ni kweli kila mwezi ni asilimia 1 constant??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Unaelewa maana ya possibility..
Walioanzisha Shirika walisharudisha pesa zao sasa hivi wanazungusha hela za wengine..
Pia bodi yake inateuliwa na mwanasiasa..
Pia siko hapa kwa ajili ya kupinga chochote kila mtu ashinde mechi zake..
Kumbuka invest what you can afford to lose kila investment zina risk zake kusema UTT ni risk free sio kweli..

Pia ni vizuri kujua mode yao ni ipi kama ni LTD, LLC, PLC, Partnership, etc
Boss UTT ni Mutual Fund
Jaribu kusoma maana ya Mutual Fund.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hongera sana kwa hatua kubwa ya kufikisha 50ml! Hii siyo kujitamba bali ni ushuhuda wa nidhamu, maono na uthubutu wa kifedha. Umeonyesha kuwa mafanikio hayaji kwa miujiza bali kwa mipango na uvumilivu. Msisitizo wako juu ya low risk investment ni wa busara sana, hasa ukizingatia uzoefu wa nyuma. Kuchagua UTT kama njia salama ya kukuza akiba ni uamuzi wa kimkakati na wa kuigwa. Endelea kusonga mbele – unatia moyo wengi!
Braza pesa sio rahisi hivi.
Kila mtu anasiri zake.
Ndio maana wapo wenye nidhamu zaidi yake ila MASIKINI TUU..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Siku UTT iki collapse au ikizidiwa ishushe riba itakuwa issue.
Kuna Trilioni moja na kitu za watu kule , watu watu watajiua, wengine watachanganyikiwa , watu watachapwa risasi hadharani Sio mchezo
 
Back
Top Bottom