Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
USIMPE SHETAN NAFASIII
NIKOOO PALEEE KWA SUGUYE NASALI
JITAHIDI SIO KILA MTU ANA STAREHEE NA KUFURAHIA PESA ZAKO AMA UTAJIRI WAKO WENGINE WANAHITAJI CODE KAMA HIZI
KUZITENDEA HAKI
 
Uzi mzuri sana. Nitaanza kuwekeza UTT mwezi huu wa nane. Target yangu ni milioni 4 Kila mwezi. Nita-reinvest faida pia.
 
Inategemea na aina ya mfuko..ingia kwemye website yao utaona
𝗞𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝗿𝗶𝗯𝗮 𝘇𝗮𝗼 𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶, 𝘁𝗮𝗳𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗶𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝘇𝗲 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗶𝗲 𝗻𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝘇𝗲 𝗵𝘂𝗸𝗼.. 𝗡𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘂𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗴𝗮𝗻𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝗯𝗮𝗻𝗸 𝗻𝗮 𝘂𝘁𝘁 𝗮𝗺𝗶𝘀
 
𝗞𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝗿𝗶𝗯𝗮 𝘇𝗮𝗼 𝗻𝗶 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶, 𝘁𝗮𝗳𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗶𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝘇𝗲 𝗺𝗮𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗶𝗲 𝗻𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝘇𝗲 𝗵𝘂𝗸𝗼.. 𝗡𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝘂𝘁𝗼𝗳𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗴𝗮𝗻𝗶 𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮 𝗯𝗮𝗻𝗸 𝗻𝗮 𝘂𝘁𝘁 𝗮𝗺𝗶𝘀
Mkuu Kuna mfuko wa Liquid au bond una uhakika wa kupata asilimia 12 Kwa mwaka. Unamtaka kuweka Kila mwezi? Unamtaka kukuza mtaji?

Weka na usitoe riba, Ile riba ya Kila mwezi iwekeze tena.
 
Habari,

Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.

Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Huwa mnatucheka waajiriwa hasa wa serikali, kumbe biashara huwa zinawapiga hadi mnaamua kuachana nazo na kukubali malipo ya sh. laki tano kwa mwezi kutoka UTT !
 
Back
Top Bottom