No, I meant kama mtu unataka kuweka dhamana ili uchukue mkopo bank.Unachukua pesa yako yote, hawana shida
Okay 👍75% ya hela yako inakuwa collateral ya mkopo unaochukuwa
Asante sanaCRDB ni custodian wa UTT
1 . Unaweza kununua vipande vya UTT kupitia CRDB na bank zingine kadhaaa mfano NBC, Stanbic, NMB na kupitia mitandao ya simu
2. Unaweza kuuza vipande vyako vya UTT na hiyo pesa itatumwa kwenye account ambayo umeianisha kwenye form yako uliojaza wakat wa kujisajili kwenye mfuko
3. Utaratibu wa kufungua account ya UTT unaanzia kwenye cm kwa kupiga *150*82# na kufata maelekezo au kwa kutumia app baada ya hapo unaweza ukaanza kununua vipande .. kisha unaweza kuchukua form online au kwenda ofcn kwao ukajaza form za ule mfuko ambao ulijiunga nao kupitia cm na utaweka account namba ambayo uliipata ulipofungua kupitia kwenye cm
Unaweza ukafungulia account kwenye cm ukaanza kununua vipande hata kwa miaka 5 ila kama unataka kuuza au kuanza kupokea gawio ndio uhitaj wa kujaza form unapokuwepo ili ujaze taarifa zako za ziada mfano account namba addrss yako na beneficiary wako
Zipeleke Samia infrastructure fund utavuna zaidiHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Kakudanganya nani mkuuZipeleke Samia infrastructure fund utavuna zaidi
Hongera boss,Mkuu usiwavunje moyo vijana, me nna 20m+ UTT lakini nafany saving kwa future plan nliyonayo
Hata akiishi yeye kajipangisha.Nyumba ya kuishi au kupangisha?
Umeandika upuuzi gan kkA really men doesn't talaka like that
Toka muda huu mpaka sasa ilizalisha kiasi gani tujifunze kitu mkuuBaada ya kuufuatilia huu uzi kwa ukaribu. Nimejilipua, nilikua na kaakiba bank kama 20M hakazai chochote, nimekatoa nimekaweka pale UTT kwenye mfuko wa Ukwasi, ngoja tuone itakuaje.
Kila mwezi 1% au 0.8,0.9% kwa mweziToka muda huu mpaka sasa ilizalisha kiasi gani tujifunze kitu mkuu
Hongera sana kwa hatua kubwa ya kufikisha 50ml! Hii siyo kujitamba bali ni ushuhuda wa nidhamu, maono na uthubutu wa kifedha. Umeonyesha kuwa mafanikio hayaji kwa miujiza bali kwa mipango na uvumilivu. Msisitizo wako juu ya low risk investment ni wa busara sana, hasa ukizingatia uzoefu wa nyuma. Kuchagua UTT kama njia salama ya kukuza akiba ni uamuzi wa kimkakati na wa kuigwa. Endelea kusonga mbele – unatia moyo wengi!Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Eti Million moja inatoa buku kwa mwezi..Ndiyo.
Mfano umeanza kudeposit 1M, kila mwezi inaongezeka 1% yake.
Mwezi ufatao… ukawa na 1,001,000\= wanaweka 1% yake. Vivyo hivyo
Kuwekeza pesa nyingi hivyo sehemu moja ni risk..Hongera sana. Kadiri unavyo invest kwa muda mrefu zaidi, ndivyo return inavyokuwa kubwa. Mimi tangu nianze ajira yangu ya kwanza mwaka 2015, niliazimia monthly kuweka zaidi ya asilimia 70 ya mshahara wangu UTT kwa sababu sikuwa na sina muda wa kusimamia biashara actively. Nikatumikia committment yangu kwa uaminifu mkubwa.
Kuna miezi nilikuwa nje ya ajira lakini sikutoa hela yangu UTT. Mwishoni wa mwaka 2023, nilikuwa na milioni 200 kwenye account yangu ya Liquid fund.
January 2024 nikatoa milioni 70 nikanunua kiwanja cha square meter 1900 bunju B chenye foundation ya ujenzi tayari.
Malengo yangu ifikapo mwaka 2030 niwe na hela isiyopungua milioni 700 kwenye account yangu ya UTT liquid + hela yangu ya nssf nitakuwa na kama milioni 800 hivi.
Then nimepanga baada ya hapo kutoa milioni 200 nijenge kwenye hicho kiwanja na hela inayobaki nahamishia mfuko wa bond ili niweze kupata mshahara wangu wa kila mwezi from UTT bila jasho. I want to retire at age 42. Tuendelee kufukuzia malengo mkuu...
Kwahiyo kama inasaidia mafisadi we unahusika vipiKuwekeza pesa nyingi hivyo sehemu moja ni risk..
Huenda akatokea rais mwenye huka kama za Magufuli akasema hiyo taasisi imesaidia mafisadi ukalia kilio cha kusaga meno..
Hizi nchi za africa taasisi zake zinaingilika kirahisi tu na wanasiasa
Acha upotoshaji mkuuKuwekeza pesa nyingi hivyo sehemu moja ni risk..
Huenda akatokea rais mwenye huka kama za Magufuli akasema hiyo taasisi imesaidia mafisadi ukalia kilio cha kusaga meno..
Hizi nchi za africa taasisi zake zinaingilika kirahisi tu na wanasiasa