Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 11,161
- 23,224
Acha na mimi nianze kuwekeza huko ,
Yes kaka,nimemalizana na mambo ya ujenzi,nataka nianze uwekezaji upya.Ulifanya jambo jema, endelea kuwekeza
Anza kuweka hiyo 7M utt mapema na kuendelea kuwekeza kila unapopata hela kwani hapo kwenye 7m kuna faida ya kila mwezi 70k kuliko hela ikae benkiSitosahau kwa namna nilivyochoma 17M kwenye biashara kichaa with 3 months.. nimeanza saving upya now nina 7M probably kwny mwezi wa 12 ntakuwa na 15M hapo itabidi niende utt.
Ukiona kitu kinapigiwa sana promo kuwa makini sanaSijui ni kwa nini, lakini kuna kitu ndani ya roho yangu kinaniambia hapa siyo sehemu salama sana ya kuwekeza. Ila naweza kuwa siko sahihi hata kidogo.
Mhh! UTT iko toka kitambo mkuuSijui ni kwa nini, lakini kuna kitu ndani ya roho yangu kinaniambia hapa siyo sehemu salama sana ya kuwekeza. Ila naweza kuwa siko sahihi hata kidogo.
Mfuko wangu pendwa ni Liquid. Nishaweka na nikazitoa. Na bado nipoHivi inamilikiwa na nani? Ilianzishwa lini?
😳😳 nani kapigia promo?Ukiona kitu kinapigiwa sana promo kuwa makini sana
Mkuu kwani mimi napinga uwepo wake? Wala sipingi kuwa kuna watu wameshaweka fedha na kutoa. Nimesema tu kwangu mimi, ningekuwa na fedha siwezi kuweka sehemu kama hiyo.Mhh! UTT iko toka kitambo mkuu
Ipo na itaendelea kuwepo
Uwekezaji na mitaji siyo lazima ufundishwe shule na sidhani kama kuna nchi wanasomesha wanafunzi wote kwenye hili jambo. Hii ni kama specialization. Watanzania kila kitu tunataka kifundishwe shuleni wakati shule tunakwenda kupata basic knowledge ya kuweza ku-grasp mambo mengine kwa kutumia maarifa tuliyopata. Kwa mfano kipindi cha korona, msomi yeyote alitakiwa atumie maarifa yake kujua kuwa kujifukiza hakuwezi kuua virus wa korona hata kama hakusoma field ya afya. Kwangu mimi tunaohoji kuhusu hii UTT, tuko sahihi 100%. Kabla hujafanya investiment popote pale, ni lazima ufanye research ya kutosha na siyo tu mtu anakupa ushuhuda eti ''niliweka fedha na nimeshapata faida''.Kwa wengi ambao wanahofia juu ya masomo ya mitaji na uwekezaji hawana makosa.Wengi wa vijana iwe wasomi au sio wasomi,bado hawana elimu juu ya masomo ya mitaji na uwekezaji.
Hii kitu ilikuwa na umuhimu wa kuwekwa kwenye mitaala ya shule japo kwa kugusia tu.
Kama ingefanyika hivyo basi hata maneno kama Hisa,Hati fungani na Mirabaha isingekuwa misamiati migumu kwa watanzania.
Pesa unazoweka NSSF, ni uwekezaji au sio?Uwekezaji na mitaji siyo lazima ufundishwe shule na sidhani kama kuna nchi wanasomesha wanafunzi wote kwenye hili jambo. Hii ni kama specialization. Watanzania kila kitu tunataka kifundishwe shuleni wakati shule tunakwenda kupata basic knowledge ya kuweza ku-grasp mambo mengine kwa kutumia maarifa tuliyopata. Kwa mfano kipindi cha korona, msomi yeyote alitakiwa atumie maarifa yake kujua kuwa kujifukiza hakuwezi kuua virus wa korona hata kama hakusoma field ya afya. Kwangu mimi tunaohoji kuhusu hii UTT, tuko sahihi 100%. Kabla hujafanya investiment popote pale, ni lazima ufanye research ya kutosha na siyo tu mtu anakupa ushuhuda eti ''niliweka fedha na nimeshapata faida''.
Naona mkuu ungechukua hata dakika 45 kila siku katika kujifunza juu ya masoko ya uwekezaji na mitaji.Ukiona kitu kinapigiwa sana promo kuwa makini sana
Nakubaliana na wewe 100%. Kila mtu ana choice yake na anafanya reseach kwa namna yake. Hii UTT nilikuwa naisikia tu ila mwezi uliopita nikaona niingie kwenye website yao (ambayo nayo sikuipenda sana). Nimesoma soma sehemu ya ''about us'' lakini sikuweza kujua ni nani wamiliki/mmiliki; na hisa za ownership (kama zipo) zikoje. Nikadhani labda ni hiki kiingereza changu kibovu, hivyo ngoja niulizie.Pesa unazoweka NSSF, ni uwekezaji au sio?
Uwekezaji una vyanzo mbali mbali depends na morali ya mtu.
Mwingine anaona hawezi tunza kwenye Acc ya kawaida ya CRDB ambapo kila mwezi watakuwa wanamkata maintanance fee.
Heri aweke UTT aokote hata hiyo faida ya 1% monthly.
Mwingine anajitunzia kwenye kibubu ndani, mwingine anatunza kwenywe M pesa nk
Huyo jamaa ni mpingaji,utamkuta kwenye kila uzi wa UTT anapinga..hayupo tayari kutaka kujielimisha wala kuelekezwa.Naona mkuu ungechukua hata dakika 45 kila siku katika kujifunza juu ya masoko ya uwekezaji na mitaji.
Kwenye huo upande ,siye ngozi nyeusi ndiyo bado hatujaamka kwenye huo upande, ila Waarabu na wahindi hapa nchini wanakula sana mema ya nchi katika hili.
Hakikisha baada ya miezi miwili unajua maana ya terms kama:Bond,Dividend, equity,Bills,Shares na Index.
Ujue tofauti ya Index fund,mutual na external traded fund...
By the way mi ni mwanataaluma wa Ujenzi,ila nilitenga mda kujifunza juu ya financial markets.
Kuna tofauti kubwa baina ya uwekezaji na Uhifadhi (investment vs saving).Katika benji,ile akaunti yako ya kawaida ni inaitwa saving account.Pesa unazoweka NSSF, ni uwekezaji au sio?
Uwekezaji una vyanzo mbali mbali depends na morali ya mtu.
Mwingine anaona hawezi tunza kwenye Acc ya kawaida ya CRDB ambapo kila mwezi watakuwa wanamkata maintanance fee.
Heri aweke UTT aokote hata hiyo faida ya 1% monthly.
Mwingine anajitunzia kwenye kibubu ndani, mwingine anatunza kwenywe M pesa nk
Sahihi kabisaNaona mkuu ungechukua hata dakika 45 kila siku katika kujifunza juu ya masoko ya uwekezaji na mitaji.
Kwenye huo upande ,siye ngozi nyeusi ndiyo bado hatujaamka kwenye huo upande, ila Waarabu na wahindi hapa nchini wanakula sana mema ya nchi katika hili.
Hakikisha baada ya miezi miwili unajua maana ya terms kama:Bond,Dividend, equity,Bills,Shares na Index.
Ujue tofauti ya Index fund,mutual na external traded fund...
By the way mi ni mwanataaluma wa Ujenzi,ila nilitenga mda kujifunza juu ya financial markets.
Kwa kifupi UTT ni kampuni ya serikali mkuu,,kazi yake ni kumsaidia mwananchi kushiriki kwenye masoko mbalimbali ya mitaji. Kwa hyo wewe unaweza pia kushiriki moja kwa moja kwenye masoko ya mitaji bila kupitia UTT. kwa hyo UTT ni kama middle man anaye kusaidia kwenda kuwekeza kwenye masoko ya mitaji bila wewe kushiriki moja kwa moja.Nakubaliana na wewe 100%. Kila mtu ana choice yake na anafanya reseach kwa namna yake. Hii UTT nilikuwa naisikia tu ila mwezi uliopita nikaona niingie kwenye website yao (ambayo nayo sikuipenda sana). Nimesoma soma sehemu ya ''about us'' lakini sikuweza kujua ni nani wamiliki/mmiliki; na hisa za ownership (kama zipo) zikoje. Nikadhani labda ni hiki kiingereza changu kibovu, hivyo ngoja niulizie.