Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Haya mashirika ya umma yanaweza kuingiliwa na wanasiasa wala sio upotoshaji..
Ni vitu vya kuchukua tahadhari
Unadhani kila kitu kinawezekana unavyo fikiri? unadhani walio anzisha hilo shirika hawakulifikiria hilo? , siasa inaweza kuathiri mfuko lakini sio risk kuwa anaweza kutokea mwanasiasa akachukua fedha
 
Kuwekeza pesa nyingi hivyo sehemu moja ni risk..

Huenda akatokea rais mwenye huka kama za Magufuli akasema hiyo taasisi imesaidia mafisadi ukalia kilio cha kusaga meno..

Hizi nchi za africa taasisi zake zinaingilika kirahisi tu na wanasiasa
Magufuli aligusa Taasisi za fedha karibu zote lakini Utt hakuweka mkono wake
 
Kuwekeza pesa nyingi hivyo sehemu moja ni risk..

Huenda akatokea rais mwenye huka kama za Magufuli akasema hiyo taasisi imesaidia mafisadi ukalia kilio cha kusaga meno..

Hizi nchi za africa taasisi zake zinaingilika kirahisi tu na wanasiasa
Huko sahihi wana siasa ni washenzi
Anaona kuna milioni 200 zinapigwa rock
 
Unadhani kila kitu kinawezekana unavyo fikiri? unadhani walio anzisha hilo shirika hawakulifikiria hilo? , siasa inaweza kuathiri mfuko lakini sio risk kuwa anaweza kutokea mwanasiasa akachukua fedha
Unaelewa maana ya possibility..
Walioanzisha Shirika walisharudisha pesa zao sasa hivi wanazungusha hela za wengine..
Pia bodi yake inateuliwa na mwanasiasa..
Pia siko hapa kwa ajili ya kupinga chochote kila mtu ashinde mechi zake..
Kumbuka invest what you can afford to lose kila investment zina risk zake kusema UTT ni risk free sio kweli..

Pia ni vizuri kujua mode yao ni ipi kama ni LTD, LLC, PLC, Partnership, etc
 
Una uelewa na unachojaribu kueleza?
 
Back
Top Bottom