Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huyo jamaa hajui anachokizungumzaUnatifishaje mfuko wa pamoja?
Huyo jamaa hajui anachokizungumzaUnatifishaje mfuko wa pamoja?
Umewekeza kwenye mfuko upi mkuu?Since then nishaweka mpaka 74M, ila imetengeneza kama 13M hivi, sio nyingi ila ingekaa bank nisingeziona. Roughly saivi Monthly inaingia 780k.
Umewekeza kwenye mfuko upi mkuu?
Siku sio Nyingi Nazifikisha 100M, kuna muda hapo Kati nilizembea ku-deposit.Hongera mkuu unaenda vizuri soon 100M
Mfuko wa Ukwasi, labda baadae nitaangalia na Mingine.Umewekeza kwenye mfuko upi mkuu?
Mkuu Zimefika 100M sasa, Wiki hili Nimeweka 10M.Hongera mkuu unaenda vizuri soon 100M
Hongera sanaMkuu Zimefika 100M sasa, Wiki hili Nimeweka 10M.View attachment 3393991
vijana mnatoa wapi pesa mtupe fursaMkuu Zimefika 100M sasa, Wiki hili Nimeweka 10M.View attachment 3393991
Safi sana mkuu.Mkuu Zimefika 100M sasa, Wiki hili Nimeweka 10M.View attachment 3393991
Hongera na utawanasa wengi kwa mtego huuHabari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond
Sasa hapo kuna mtego gani😃Hongera na utawanasa wengi kwa mtego huu
Milion mbili hapo kwa mweziAcha uoga….high risks high returns…nataka nianze na 250 millions at least nione kahela kanaingia kwa mwezi
2.5mMilion mbili hapo kwa mwezi
Haiwezi kuwa kamili hivyo.2.5m
Nidhamu tu na Kujinyima Mkuu, hamna siri nyingine😁. Kwanza zikiwa UTT kuzitoa sio instant kama zikiwa Bank, hiyo inaleta Uvivu flani hivi wa kuzichukua.vijana mnatoa wapi pesa mtupe fursa
Nidhamu tu na Kujinyima Mkuu, hamna siri nyingine😁
Jinsi ya kuzipata na kuziweka huko 🤣Nidhamu tu na Kujinyima Mkuu, hamna siri nyingine😁. Kwanza zikiwa UTT kuzitoa sio instant kama zikiwa Bank, hiyo inaleta Uvivu flani hivi wa kuzichukua.