Now its a time ya kujimwambafyi kidogo barabarani

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,712
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji41][emoji41]
FB_IMG_1621489425677.jpg
 
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji41][emoji41]View attachment 1791441

Mama anatupa raha sana kwa kweli. Anagonga mule mule!

Apange kupata wake kadhaa wa mfano. Hata kwa kuwahamishia FFU. Ukwasi walionao na mali walizo nazo mbona zinazungumza sana tu?

Tuko tayari kusaidia kumwonyesha wako wapi na wanafanya nini katika kuhujumu jitihada zake na haki za watu.
 
Hao jamaa wataendelea kutunyanyasa tu na hatuna cha kuwafanya as long as wanaendelea kumilikishwa hizo machine. BTW, traffic anaweza akakukamata, akakuomba driving licence, akakumbambikizia kosa lolote na usiwe na la kumfanya. Yaani hata kama huna leseni, bado anaweza akarecord namba za gari yako na akakupiga spana vilevile. Deni litaanza kusoma na kuongezeka gradually mpaka uje ulilipe

Traffic wanapaswa kuvaa reflector zenye namba za simu za supervisors wao ili kama raia mwema ananyanyaswa, basi apige simu juu there and then.
 
Rare thing in Africa
 
Mama anatupa raha sana kwa kweli. Anagonga mule mule!

Apange kupata wake kadhaa wa mfano. Hata kwa kuwahamishia FFU. Ulwasi waliona na mali walizo nazo mbona zinazungumza sana tu?

Tuko tayari kusaidia kumwonyesha wako wapi na wanafanya nini katika kuhujumu jitihada zake na haki za watu.
Biashara wanajificha juu ya miti kutupiga tochi waache kabisa
 
Hao jamaa wataendelea kutunyanyasa tu na hatuna cha kuwafanya as long as wanaendelea kumilikishwa hizo machine. BTW, traffic anaweza akakukamata, akakuomba driving licence, akakumbambikizia kosa lolote na usiwe na la kumfanya. Yaani hata kama huna leseni, bado anaweza akarecord namba za gari yako na akakupiga spana vilevile. Deni litaanza kusoma na kuongezeka gradually mpaka uje ulilipe

Traffic wanapaswa kuvaa reflector zenye namba za simu za supervisors wao ili kama raia mwema ananyanyaswa, basi apige simu juu there and then.

Kwanini kusiwe na hotline ya polisi kushughulikia in real-time na changamoto kwenye utendaji wao?
 
Naunga mkono hoja

Hawalitaki hili pamoja na kuwa tumekuwa tukiliomba kwa muda mrefu kwa sababu hotline haina maslahi kwao. Nia yao ni kufanikisha wizi wao tu.

Kwa nini mashirika ya si yawe na effective hotline 24x7 lakini si polisi wakati watu wanabambikizwa kesi na kuporwa haki na mali zao na polisi hawa hawa wanaopaswa kutoa ulinzi?

Kwa hakika haiingii akilini.
 
ndugu zangu trafic hakika mnaweza kabisa kusimamia sheria za barabarani bila kusumbua watu na faini.isipo kuwa kwa yale makosa makubwa lkn makosa madogo madogo mnaweza kutoa onyo tu na maelekezo.

kumbe tunaweza kuishi kwa ustaraabu kama ulaya.

ila na sisi wananchi tusi vhukulie sasa ndio mwanya wa kuvunja sheria....hapana!
lazima tutii sheria bila kushurutishwa.

kazi iendeleee
 
Hao jamaa wataendelea kutunyanyasa tu na hatuna cha kuwafanya as long as wanaendelea kumilikishwa hizo machine. BTW, traffic anaweza akakukamata, akakuomba driving licence, akakumbambikizia kosa lolote na usiwe na la kumfanya. Yaani hata kama huna leseni, bado anaweza akarecord namba za gari yako na akakupiga spana vilevile. Deni litaanza kusoma na kuongezeka gradually mpaka uje ulilipe

Traffic wanapaswa kuvaa reflector zenye namba za simu za supervisors wao ili kama raia mwema ananyanyaswa, basi apige simu juu there and then.
Umenikumbusha enzi za ujana maji ya moto.

Kuna siku weekend tulikuwa tunatoka nyumbani Oysterbay kwenda kuvinjari viwanja na vichaa wangu "Untouchables" wenyewe wenye nchi.

Sasa tuko barabara ya Haile Selassie, humo kwenye gari umechomwa mjani kama tupo kwa Bob Marley watu wanatembezeana sakramenti ya Rastafari mjani.

Kufika kanisa la St. Peters pale, traffic police akajipendekeza kutupiga mkono.

Sie hatuna hiyana na mtu tukasimamisha gari.

Trafiki mwenyewe alivyoiona gari ikawa kama kaijua hivi, akajibaraguza kuomba lifti tumpeleke kituo cha Polisi Oysterbay.

Sisi watu wa msaada, lift tu? Tukasema apewe lift trafiki wetu anafanya kazi ya usalama barabarani.

Trafiki kuingia ndani ya gari tu, kakutana na moshi wa mjani umetanda gari zima, watu wanapiga reggae kama Jamaica, halafu wanaendelea kupasiana mjani kama trafiki hayupo vile. Yani ilibaki kidogo tu trafiki naye atembezewe mjani, kwani mwenge hauruki kijiji.

Trafiki alivyoona hivyo kwanza hakuamini macho yake.

Ikabidi mwenyewe aombe kushuka haraka sana kabla hata hajafika huko kituoni Oysterbay alipotaka tumpeleke.

Kila nikikumbuka ile siku nacheka sana.Hususqn nikiina trafiki wananyanyasa watu.

Don't try this at home kids, those were different times.
 
Mama anatupa raha sana kwa kweli. Anagonga mule mule!

Apange kupata wake kadhaa wa mfano. Hata kwa kuwahamishia FFU. Ulwasi waliona na mali walizo nazo mbona zinazungumza sana tu?

Tuko tayari kusaidia kumwonyesha wako wapi na wanafanya nini katika kuhujumu jitihada zake na haki za watu.
Haijafika siku 100 tangu mwendazake aendezake, mama katutendea mengi mazuri sana.

Mungu yu mwema daima. Sijui kwanini alichelewa kutupa furaha...
 
Umenikumbusha enzi za ujana maji ya moto.

Kuna siku weekend tulikuwa tunatoka nyumbani Oysterbay kwenda kuvinjari viwanja na vichaa wangu "Untouchables" wenyewe wenye nchi.

Sasa tuko barabara ya Haile Selassie, humo kwenye gari umechomwa mjani kama tupo kwa Bob Marley watu wanatembezeana sakramenti ya Rastafari mjani.

Kufika kanisa la St. Peters pale, traffic police akajipendekeza kutupiga mkono.

Sie hatuna hiyana na mtu tukasimamisha gari.

Trafiki mwenyewe alivyoiona gari ikawa kama kaijua hivi, akajibaraguza kuomba lifti tumpeleke kituo cha Polisi Oysterbay.

Sisi watu wa msaada, lift tu? Tukasema apewe lift trafiki wetu anafanya kazi ya usalama barabarani.

Trafiki kuingia ndani ya gari tu, kakutana na moshi wa mjani umetanda gari zima, watu wanapiga reggae kama Jamaica, halafu wanaendelea kupasiana mjani kama trafiki hayupo vile. Yani ilibaki kidogo tu trafiki naye atembezewe mjani, kwani mwenge hauruki kijiji.

Trafiki alivyoona hivyo kwanza hakuamini macho yake.

Ikabidi mwenyewe aombe kushuka haraka sana kabla hata hajafika huko kituoni Oysterbay alipotaka tumpeleke.

Kila nikikumbuka ile siku nacheka sana.Hususqn nikiina trafiki wananyanyasa watu.

Don't try this at home kids, those were different times.
Nyie jamaa mlikuwa shiida sana inawezekana walikuwinda ndio maana ukakimbia nchi
 
ndugu zangu trafic hakika mnaweza kabisa kusimamia sheria za barabarani bila kusumbua watu na faini.isipo kuwa kwa yale makosa makubwa lkn makosa madogo madogo mnaweza kutoa onyo tu na maelekezo.

kumbe tunaweza kuishi kwa ustaraabu kama ulaya.

ila na sisi wananchi tusi vhukulie sasa ndio mwanya wa kuvunja sheria....hapana!
lazima tutii sheria bila kushurutishwa.

kazi iendeleee
Hapo poa sana
 
Nyie jamaa mlikuwa shiida sana inawezekana walikuwinda ndio maana ukakimbia nchi
Hakuna aliyeniwinda niliondoka mwenyewe tu.

Kaka Vale mtoto wa Gorbachev alinizingua na viwanja tangu niko primary.

Jamaa ni mwehu, alikuwa anasafiri kwenda Ulaya, airport wanamzingua, anawaambia msinisumbue mimi mtoto wa Gorbachev mkinisumbua mtakiona.

Halafu jamaa kawiva kichizi ukimuangalia kama half cast, ukimuangalia kwa woga unaweza kukubali mtoto wa Gorbachev kweli.

Akapita kwenda viwanja miaka hiyo ya 1980s akatuzingua wadogo zake na safari.
 
So ndio mkaunga tela sio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom