Video: Ndege ya kivita ya J-35 ikiruka angani

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,187
Reaction score
24,579
Wataalam mje hapa, China wamezindua ndege yao hatari ya kivita ya J-35 ambayo inafanana na na ndege hatari ya kivita ya F-35 ya kimarekani

Hapo ni kwenye maonyesho ikiruka hapo[emoji1313][emoji1313]
Naona nchi nyingi zikianza kununua hii na kuachana na F-35 za mmarekani maana hii lazima itakua nafuu kwa bei kuliko hiyo ya Marekani

J - 35 stealth fighter jet at the Zhuhai Airshow. It's like a mysterious and powerful eagle in the sky, attracting all eyes with its advanced technology and sleek design.

View: https://x.com/zhang_heqing/status/1856039731932606528?t=A8nHOMU6Dvt-JemTY8oaFA&s=19
 
Watakuambia ni gemu iliyotengenezwa na AI
 
Na sisi hatuna hata dalili ya kuzinduka

433898894_382726981192162_9040453771690272891_n.jpg

1731449944601.png

Mungu tutazame kwa jicho la huruma
 
Wataalam mje hapa, China wamezindua ndege yao hatari ya kivita ya J-35 ambayo inafanana na na ndege hatari ya kivita ya F-35 ya kimarekani

Hapo ni kwenye maonyesho ikiruka hapo[emoji1313][emoji1313]
Naona nchi nyingi zikianza kununua hii na kuachana na F-35 za mmarekani maana hii lazima itakua nafuu kwa bei kuliko hiyo ya Marekani

J - 35 stealth fighter jet at the Zhuhai Airshow. It's like a mysterious and powerful eagle in the sky, attracting all eyes with its advanced technology and sleek design.

View: https://x.com/zhang_heqing/status/1856039731932606528?t=A8nHOMU6Dvt-JemTY8oaFA&s=19

Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
 
Kimsboy hii picha sio kweli iyo ndege sio ya china ni Ressia pili apo kuna picha zimechanganywa hiii picha ya mwisho iyo ndege kweli kitoys cha ndege🙄🙄🙄🙄.
 
Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Sasa dini ya Uislam inaingiaje kwenye uzi wa J-35A ?
 
Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Uislamu unaingiaje hapo? ni wapi mleta mada ameongelea udini?

Inaonekana Uislamu unakutesa sana ndani ya nafsi yako.
 
Wataalam mje hapa, China wamezindua ndege yao hatari ya kivita ya J-35 ambayo inafanana na na ndege hatari ya kivita ya F-35 ya kimarekani

Hapo ni kwenye maonyesho ikiruka hapo[emoji1313][emoji1313]
Naona nchi nyingi zikianza kununua hii na kuachana na F-35 za mmarekani maana hii lazima itakua nafuu kwa bei kuliko hiyo ya Marekani

J - 35 stealth fighter jet at the Zhuhai Airshow. It's like a mysterious and powerful eagle in the sky, attracting all eyes with its advanced technology and sleek design.

View: https://x.com/zhang_heqing/status/1856039731932606528?t=A8nHOMU6Dvt-JemTY8oaFA&s=19

Hiyo mbona ni sukoi ya Russia ndege ya muda mrefu tu
 
Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Yanaongelewa mambo ya ndege vita kijana, ni vema kabla ya kuchangia mada uwe umeisoma vizuri
 
Ina machejo hii🤣.Nakushauri babu yangu mavilemba nunua 200 hizi vinginevyo Zayuni atakuvua msuli mchana wa jua kali hadharani.
 
Hivi unajua Dunian nchi au taifa ambalo haliwazagi Dini ya Kiislamu ni China??hivi unajua China ndo nchi pekee Dunian inayo wanyonyoa na kuwabanika waislamu? Hivi unajua China ndo nchi inayo ongoza kucopy na kupest vya waliomzidi huku vingi vikiwa feki Kama utakuwa na akili umenielewa!!!
Ujinga gani unaongea .....dini inaingia vip hapa? Kwa hio ulitegemea awaponde wachina kisa hatufanani dini? Uislam hauna unafki
 
Back
Top Bottom