Notice ya kuacha job ndani ya 24 hours!

Notice ya kuacha job ndani ya 24 hours!

NGOSWE.120

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
219
Reaction score
234
Wakuu wana JF,

Nina mpango wa kupiga chini hii job ninayoifanya maana naona inanilostisha na haina maslahi wala future kwangu.

Nataka nitumie ile njia ya kupiga chini job by giving a notice withini 24 hours soon baada ya kutafuna salary yao ya this month/january.

Swali:

Je ninapotoa hiyo notice ya 24 hours ina-nipasa niwalipe salary ipi- basic salary au ni take home?

Na endapo nikitoka tu kimtindo bila kuwalipa hiyo hela watanishtaki au? (Ni taasisi ya serikali).
 
Tunashukuru kwa ushauri wako mkuu,kwa mujibu wa taratibu za kuacha kazi kwa kutoa taarifa ya saa 24 unapaswa kurudisha basic salary kwa kuwa makato ya pensheni yanaenda kwenye akaunti yako na mfuko husika wa pensheni,pia income tax utakayokuwa umekatwa ni kwa kuwa ume'earn' mshahara husika ila umeacha kazi ndani ya saa 24 kwa uamuzi wako binafsi ndiyo maana unapaswa kuwarudishia basic salary(na sio gross salary wala net pay).Pia mstaarabu huwa anaondoka kistaarabu kwa hiyo walipe huo mshahara kisha uondoke kifua mbele mkuu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
basic salary ni ipi, na gross salary ni ipi?
 
basic salary=gross salary. but net salary=takehome salary; this will be done after deduction of VAT, NSSF.

1. Basic Salary sio sawa na Gross Salary;
Basic Salary+Transport Allowances+House Allowance+Any other Allowance=Gross Salary.
2. Gross Salary-PAYE(Income Tax)-Pension Fund Contributions-Any Other Deductions=Net Salary(Pay)/Take Home.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tunashukuru kwa ushauri wako mkuu,kwa mujibu wa taratibu za kuacha kazi kwa kutoa taarifa ya saa 24 unapaswa kurudisha basic salary kwa kuwa makato ya pensheni yanaenda kwenye akaunti yako na mfuko husika wa pensheni,pia income tax utakayokuwa umekatwa ni kwa kuwa ume'earn' mshahara husika ila umeacha kazi ndani ya saa 24 kwa uamuzi wako binafsi ndiyo maana unapaswa kuwarudishia basic salary(na sio gross salary wala net pay).Pia mstaarabu huwa anaondoka kistaarabu kwa hiyo walipe huo mshahara kisha uondoke kifua mbele mkuu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Na mimi na mpango kama huo;Kama sikuwahi kuwa na mkataba na ninapofanyia kazi (private school) naweza kutokomea ki hivyo?
 
Kama huna mkataba mkuu unakula kona tu,ingawa kuaga ni vizuri ili wakuandikie reference CV yako ipendeze lakini there is no need kuwalipa chochote.Kama unaweza kuwaandikia one month notice unaweza fanya hivyo kwa kuwa yenyewe hata kama mngekuwa na mkataba huwalipi chochote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama huna mkataba mkuu unakula kona tu,ingawa kuaga ni vizuri ili wakuandikie reference CV yako ipendeze lakini there is no need kuwalipa chochote.Kama unaweza kuwaandikia one month notice unaweza fanya hivyo kwa kuwa yenyewe hata kama mngekuwa na mkataba huwalipi chochote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Sasa mkuu,

Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?

mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
 
Ni vizuri kufuata taratibu mkuu,ajira yangu ya kwanza nilitoa one month notice kwa hiyo sikulipa kitu,nilipokwenda nikatoa 24hrs notice nikawalipa basic salary yao ndo nikaajiriwa serikalini.Inauma kulipa huo mshahara lakini ndo utaratibu mkuu.Otherwise wewe ndo unayajua vizuri mazingira yako ya kazi mkuu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sasa mkuu,

Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?

mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!

naona watu wanazunguka point tu..wewe muwashe kofi bosi wako na huo utakua mwisho watakulipa na kukufukuza mara moja
 
Sasa mkuu,

Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?

mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
ukiondoka bila kuwapa huo mshahara wa mwezi mmoja hutaweza kupata haki zako nyingine kama mifuko ya jamii...
 
Wakuu wana JF,

Nina mpango wa kupiga chini hii job ninayoifanya maana naona inanilostisha na haina maslahi wala future kwangu.

Nataka nitumie ile njia ya kupiga chini job by giving a notice withini 24 hours soon baada ya kutafuna salary yao ya this month/january.

Swali:

Je ninapotoa hiyo notice ya 24 hours ina-nipasa niwalipe salary ipi- basic salary au ni take home?

Na endapo nikitoka tu kimtindo bila kuwalipa hiyo hela watanishtaki au? (Ni taasisi ya serikali).
Kuacha kazi kwa 24 mi si busara hasa kama una nafasi ya juu. Kwa muungwana unaacha kwa notice ya mwezi ili umpe muajili nafasi ya kujiandaa. Hiyo itampa hata huyo muajili mpya confidence juu yako kuwa upo considerate. Ila kama unaishu fanya hivyo ila jiandae na kulipa mshahara mmoja
 
Kuacha kazi masaa 24 maana yake ni kuwa unavunja mkataba. Ndiyo maana unatakiwa ulipe hiyo Basic salary. Kama wengine walivyosema. Kama huna haraka toa notice ya mwezi mmoja then uachane nao. Ila kama umepata kazi nyingine na wanakuhitaji haraka basi...lipa hivyo basic salary na wakupe risiti weka mfukoni, chapa mwendo. Usipolipa jua umepoteza haki zako za michango ya mifuko ya jamii.
 
Back
Top Bottom