Lol,nadhani anamaanisha income tax hapo kwenye VAT.Salary nazo zina vAT? Acha fix
Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
Lol,nadhani anamaanisha income tax hapo kwenye VAT.Salary nazo zina vAT? Acha fix
Duh! We ni kiboko!
naona watu wanazunguka point tu..wewe muwashe kofi bosi wako na huo utakua mwisho watakulipa na kukufukuza mara moja
Kuacha kazi masaa 24 maana yake ni kuwa unavunja mkataba. Ndiyo maana unatakiwa ulipe hiyo Basic salary. Kama wengine walivyosema. Kama huna haraka toa notice ya mwezi mmoja then uachane nao. Ila kama umepata kazi nyingine na wanakuhitaji haraka basi...lipa hivyo basic salary na wakupe risiti weka mfukoni, chapa mwendo. Usipolipa jua umepoteza haki zako za michango ya mifuko ya jamii.
Tunashukuru kwa ushauri wako mkuu,kwa mujibu wa taratibu za kuacha kazi kwa kutoa taarifa ya saa 24 unapaswa kurudisha basic salary kwa kuwa makato ya pensheni yanaenda kwenye akaunti yako na mfuko husika wa pensheni,pia income tax utakayokuwa umekatwa ni kwa kuwa ume'earn' mshahara husika ila umeacha kazi ndani ya saa 24 kwa uamuzi wako binafsi ndiyo maana unapaswa kuwarudishia basic salary(na sio gross salary wala net pay).Pia mstaarabu huwa anaondoka kistaarabu kwa hiyo walipe huo mshahara kisha uondoke kifua mbele mkuu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sasa mkuu,
Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?
mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
inakuwaje kama mkataba wangu ulikwisha na sijasaini mwinginw kwa miezi mi 2 ninadaiwa hapo!?kwanza kabisa kulingana ta sheria ya kazi ya Tanzania ya mwaka 2004 unatakiwa kumlipa mwajiri wako mshaara wa mwezi mzima, lakini kama ulipewa mkataba wa ajira wakati wa kuanza kazi fuatilia unakuelekeza nini kuhusu unapoacha kazi. taratibu za kuacha kazi kwa kawaida huwa zinatofautiana kwa kampuni na kampuni kulingana na mwajiri amesemaje kwenye mkataba wako wa kazi. kumbuka pia sio lazima ukuacha kazi mwajiri akubali ile barua ya resignation anaweza kukataa kwani sheria inamlinda hivyo angalia sababu ya kufanya hivyo na daima usiache kazi sehemu vibaya waswahili husema dunia daura recommendation na work experience from previous employer huwa zinazingatiwa sana na makampuni makini kabla ya kumwajiri mtu. uanaweza kuacha ila go back to contract inasemaje angalia na company policy then kama hazibani sana go on kama zitakuumiza toa natice ya siku 28 ambapo utalipwa mshahara wako wote na kuach akazi vizuri
Sasa mkuu,
Mimi nikiondoka bila ya kuwaaga na kuwalipa hiyo pesa watanifunga au watanitafuta?? Na kama am not interested to work with them any more watafanyaje?
mkuu nipe ushauri wa kuwaacha hawa jamaa bila kuwalipa na pia wasinidai....je nitumie sababu gani kuwapiga chenga na wasinifuatilie tena mkuu...waiting to hear from you!
Ni hivi nakuomba fuata taratibu za kuacha kazi masaa 24 walipe ili wakupe goverment receipt na barua ya kuacha kazi hiyo ni muhimu kwahapo baadae endapo utapata ajira tena serikalini yenye kulipa hivyo vitu utaulizwa na inabidi uwe navyo ili upate ajira.Akiba haiozi!Mkuu asante kwa ufafanuzi wako.
Kama ndio hivyo mimi nitapiga job chini kimya kimya na wala sina haja na hayo mafao ya kutoka mifuko ya jamii....coz najua ni kiasi kidogo tu so I better Sepa faster and leave them kivyao na mimi kivyangu....
Yaani toka nimeanza kazi we hakuna alowance yeyote ile wala night/per diem? hahaha this is very bad...to live only by depending from salary....si mwisho nitaua watoto wangu na kushindwa kuwapeleka shule...lol!