Noti zetu

Julido

Member
Oct 30, 2013
83
21
Habari wana JF.
Naomba wachumi mnisaidie kuelewa kwenye jambo hili. Kwanini hadi sasa tunaendelea kutumia noti za zamani na noti mpya licha ya kuingizwa kwenye mzunguko kuanzia 2011?
Je kulikuwa na ulazima wa kuzibadilisha?

Nawasilisha!!
 
Kwa kuogopa hasara za kiuchumi zinazoweza kuletwa na watu kutaka kurudisha benki noti za zamani
 
Back
Top Bottom