Habari wana JF. Naomba wachumi mnisaidie kuelewa kwenye jambo hili. Kwanini hadi sasa tunaendelea kutumia noti za zamani na noti mpya licha ya kuingizwa kwenye mzunguko kuanzia 2011? Je kulikuwa na ulazima wa kuzibadilisha? Nawasilisha!!