Kwa uchunguzi mdogo nililofanya naona hizi shule bora zinazosifiwa kila kona wakati huu actually hazina ubora wa kutisha sanaaaa kivile!
Nimefikia kuamini hivi kutokana na ukweli kuwa shule hizo huwa zinafocus kuchukua watoto wenye uwezo tayari, ili wawe na kazi kidogo ya kuwadevelop, matokeo yake sasa ni kitu expected.. Kitu bora kiliingia, unaking'arisha kidogo, unatoa kitu bora zaidi! Halafu unaclaim ada kubwaaaaa!!
Kwa mzazi ambaye hizo ada sio tatizo sioni shida, lakini unatumia mkwanja mrefuuu kumlipia mwanao ambaye ni kaumbwa kufaulu!
Hivi unaweza kujisifia kwa kumfundisha mtu mwenye kipaji cha kufaulu, 'kufaulu'? Utaratibu wa hizi shule zinazoongoza, kwanza interview tu ni watu buku au zaidi, kama ajira za TRA. Michujo kibao kiasi kwamba wanakuwa wana uhakika wana 'cream' kbs ya fast learners Tanzania.
Wakati mwingine mpaka wanaiba wanafunzi, wanakuwa na watu wao, wakiona mtoto kipaji yupo shule nyingine , wanampa offer ya kwenda kusoma huko kwa ada ile ile hata kama tofauti ni kubwa kiasi gani. Na wakati mwingine wanasoma hadi bure.
So wanamake sure wana cream ya fast learners ikiwezekana Tanzania nzima. Halafu wanawawekea mazingira bora kbs ya kusoma, unategemea nn?
Halafu eti na ww mzazi kbs eti unashangaa kbs mbele ya familia nzima kuwa wote wamepata div I!!!?
In my opinion ni kuinvest kwenye kitu kisicho na ulazima. Mind you, hawa madogo wanaosoma huku wengi wao hata ungewapeleka Tabora boys au Iyunga au Ifunda wangepasua tu, ofcourse may be sio kupata A zote lakin wangepasua tu.
So in my opinion hawa wenye shule wanacheza tu na hisia za watu lakin wanachokifanya sio miracle. Fancy buses, hotel standard life does not necessarily make a student pass. Watoto wamefaulu kwa sababu ni fast learners, full stop.
Nirud sasa kwenye point yangu,sijui kwa wengine kwakweli ila mi naona, akitokea mtu akaanzisha shule, na factor moja wapo ikawa ni kuwa anapokea slow learners, hlf anatia juhudi na maarifa yake then wanafaulu,ndiye anatakiwa apate sifa.
Na mtu huyu mi hata akisema ada ni 8M,ntamsaport na kama nna uwezo na nna mtoto slow learner nampeleka.
Kumbuka kuwa slow learner is not something to be ashamed of. Inatokea tu wengine wanakuwa slow learners wengine fast learners.Being a fast learner does not necessarily make you better than aliye slow learner.
Ukija duniani, slow learners ,fast learners doesn't matter as long as you are 'learned'. Sasa kwanini hajitokezi mtu akaanzisha shule ambayo inachukua slow learners, akawekeza kwenye walimu bora, vifaa na whatever input nyingine za kiualimuz ambazo sizifahamu akaweza kuachieve hii kitu...Yaani uchukue mtu ambaye kwa mazingira ya kawaida angefeli, then umfundishe mpk afaulu.
Obvious effort utakayoweka ni kubwa kuliko aliyechukua cream. Na hata ufundishaji wake nadhan utakuwa slow, na unaweza tumia resources nyingi zaid ya kama ukimfundisha fast learner, ndo sasa ungejustify kuweka ada kubwa.