Nothing special in Top Schools

Nothing special in Top Schools

Mkuu...lishe nzuri/bora haihitaji mtu awe family ya kishua, hata "masikini" anaweza kuipata.

Dagaa, mchicha, matunda, maji safi na salama (yalichemshwa), maharagwe (including supu yake), dona nk nk. Hivi vyooote havihitaji "mahela" sana kuvipata.

Sijui uko nchi gani
Dagaa wa kighoma dar kilo elfu 15
maharage na mchele bei moja
matunda bei sio kama zamani..

kama watu milo mitatu inawashinda sodhani kama wanaweza nunua hata matunda
 
Nilipata kusoma mahali Albert Einstein alisema ukinipa mtoto mdogo naweza kumfanya akawa na akili za ajabu ila pia mtoto huyohuyo naweza kumfanya akawa mjinga kupitiliza ,hili swala linaanzia kwenye malezi ya mtoto akiwa mdogo
 
Hilo wazo lipo akilin mwangu siku nyingi na bado linaendelea kuishi nafkir litatimia siku moja
 
Hilo wazo lipo akilin mwangu siku nyingi na bado linaendelea kuishi nafkir litatimia siku moja
Mi nadhan soon watu wataanza kuelewa kuacha kufata upepo wa media na mitandao.Huo wakat ukifika wakute we umeshaestablish base tayar.
 
Back
Top Bottom