The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
mkuu salama.
hapo kwenye gene inategemea mambo mengi
umetaja kadhaa hapo. ni kweli kabisa.
ila pia kuna gene za kurith. pia unarith uwezo wa class from parents.
diet pia mkuu... kuna watu wanasema watu wanaokula ngano huwa genius mfano waisrael...sina uhakika wa hizi za azam...
ila hapo hapo pia kwenye diet napata mashaka kwa vile watoto wenye uwezo wengi huwa ni slow lerners
Niliwahi kusoma kwenye gazeti
in German kuna jimbo wame intruduce mchezo wa chess primary school
wakiamini huo mchezo utawasaidia watoto kuwa bright