Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,719
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.
Mwenye uelewa zaidi anijulishe.