miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,966
unaniruhusu nikusahihishe mamito? Not married ni group la (divorced, separated, widowed na never married) nadhani ulimaanisha never married ambaye tunategemea hajawahi kuonja kulala na mwenzi hadi asubuhi kihalali. Never married ndio unaweza kukuta watu walio na bikra. Kuna makundi makuu matatu i. Ever married, ii. Currently married na iii. Never married. Ever married (separated, divorced and widowed) and never married are called single. Katika uhamiaji hii kitu ni muhimu maana siamini hata jack angalikuwa ni mke wa mtu au ana mtoto anayemtegemea angaliweza kwenda macau. Akiingia mtu ambaye ni currently married uharaka wa kurudi makwao ni mkubwa kuliko wengine n.k.
asante mkuu kwa marekebisho... Hope bado ujaguswa kwa hiyo upo kwenye kundi la............... Malizia mwenyewe