kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,197
Nilitamani bomb la hydrogen litue kwenye lile wig kwa tuliosoma chemistry kitakachotokea ni SUBLIMATION yaan direct change from solid to gas
Afadhali dogo atawale nasi tunyoe kidukukiduku hana simile kutumia hizo silaha...na haogopi kitu..
anafuata nyayo za Hitler..na Kim ndiye atakuja kuwa rais wa dunia...Trump makamu wake
vita inajongea na haikwepeki..
.. sivyo Kim aendelelee na makombora yake;na rasmi atakuwa rais wa dunia
Tofauti ni kwamba NK ana nyuklia SK hana. Huoni India na Pakistan zinavyoheshimiana?!. Unadhan SK wakiwa na nuke leo wataogopa vitisho vya North?Vi
vipi China na Russia wakipeleka silaha zao NK.?unafikiri ilo ni suluhisho...?
mkuu kuna aina mbili za Nuclear bomb ambazo ni Atomic na Hydrogen bomb,Atomic bomb inatumia fission lakini Hydrogen bomb inatumia fusion,ili Hydrogen bomb ifanye kazi inahitaji Atomic bomb kama source yake ya enegry ndio maana Hydrogen bomb ina nguvu kuliko Atomic bombAtomic Bomb, sio Nuclear wala Hydrogen
Mkuu embu soma tena hii comment yakoAtomic Bomb, sio Nuclear wala Hydrogen
Mpaka sasa ni nchi tatu tu duniani zenye uwezo wa kutungua makombora ya ICBM.Nazo ni Israel,Marekani na Urusi.
Na ni system tatu tu duniani kote zina uwezo wa kutungua ICBM nazo zinapatikana Israel,Marekani na Urusi.
Israel wana Arrow 3
Marekani wana Ground Based Mid course Defence
Na Urusi wana A-135 ant-icbm zamani ilikua ikiitwa A-35.
Hivyo hata China hana uwezo wa kutungua makombora ya icbm
Me nimekuletea fact zangu hizo hapo, na wewe naomba zako.Kaka hebu angalia fact zako vizuri, sio nchi tatu pekee, zipo nyingi kaka
China wanazo, France wanazo, Uk wanazo nk
Tatizo la NK nadhani sio SK wala Japan,tatizo la NK ni uwepo wa marekani eneo ilo na Marekani anajua kabisa yeye ndio shida,mfano UN walisema pia uwepo wa mazoezi ya kijeshi kati ya US na SK ndo unachochea mgogoro pale,kesho yake US na SK wakafanya fujo zao tena,NK akaona isiwe shida kapitisha kombora JapaniTofauti ni kwamba NK ana nyuklia SK hana. Huoni India na Pakistan zinavyoheshimiana?!. Unadhan SK wakiwa na nuke leo wataogopa vitisho vya North?
Hahaha,vingine unaamua kupotezea tu mkuu wanafurahisha sana hawa watuMkuu embu soma tena hii comment yako
Haya ni maneno yanayotoka ktk kinywa cha mtu mjinga tuu . .wajapan kwa sasa hata sisi tunaweza kuwapiga kama hawana support ya USA.
Mwenye akili ameshaona USA hana uwezo wowote wa kuingia vitani na Korea.. Hana huo uwezo ndio maana wanapiga domo tuhayo ma S400 hayahusiani kabisa na issue ya kim na trump.
Dogo kapitisha dude juu ya japan USA hajaona kitu. Wakati USA ndiye mlinzi wa japan.
USA tambo za kuwaonea wanyonye na propaganda za kwenye movie za expendable.
Mkuu embu soma tena hii comment yako
Nope mtafute huyu jamaa Dkt. Mohamed Gharib Bilal. Kasomea na ni mtaalam wa mambo ya Nuclear anakufa na elimu yake kichwani......Haaa, hili Tutamtafuta Dokta Magufuli atukatie shule
Upo sahihi kabisa mkuu.Pia upande mwingine naona Marekani anafaidika sana na huu mgogoro ndo maana kila siku anazidisha uchochezi.Tatizo la NK nadhani sio SK wala Japan,tatizo la NK ni uwepo wa marekani eneo ilo na Marekani anajua kabisa yeye ndio shida,mfano UN walisema pia uwepo wa mazoezi ya kijeshi kati ya US na SK ndo unachochea mgogoro pale,kesho yake US na SK wakafanya fujo zao tena,NK akaona isiwe shida kapitisha kombora Japani
Duh! Hasira ya nini ndugu? Hivi hujui Japan hawana jeshi. Wanategemea kulindwa na wamarekani. Au hujui ndugu?Haya ni maneno yanayotoka ktk kinywa cha mtu mjinga tuu . .
Nchi yetu inahemea misaada kila kukicha . . , eti leo iwe na uwezo wa kumpiga mjapani anayekubeba ktk miundo mbinu ya barabara na magari . .
Anael ficha ujinga wako . . !
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambazi umenikumbusha lecturer wangu Dr Bilal na Dr Kondoro walionifundisha Nuclear physicsNope mtafute huyu jamaa Dkt. Mohamed Gharib Bilal. Kasomea na ni mtaalam wa mambo ya Nuclear anakufa na elimu yake kichwani......
Turejee kwenye swala la India na Pakistan,je kulikua na mtu nyuma yao anaeleta shida..?hawa wawili walikua wanafujo wao kama wao binafsiTofauti ni kwamba NK ana nyuklia SK hana. Huoni India na Pakistan zinavyoheshimiana?!. Unadhan SK wakiwa na nuke leo wataogopa vitisho vya North?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natumai hii comment yako umeandika kiutani kama sivyo... Dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]Duh! Hasira ya nini ndugu? Hivi hujui Japan hawana jeshi. Wanategemea kulindwa na wamarekani. Au hujui ndugu?