Kuna uzi humu nimeuona Trump anataka kujitoa S. Korea. Huku akipiga mikwara. Alivyo kuwa anarusha maneno ya mipasho twitter, naona sasa hivi amenywea. Kaona dogo yupo vizuri.kwaiyo tuanze kuimba dada uyoooooo anaolewa dada uyoooooo anaolewa x3 leo kim kapeleka posa
mkuu hapo kwenye red ni kwamba hakujawahi kuwepo vita ya kwanza na ya pili ya dunia,zilikuwa ni vita za ulaya
Bro Richard mabomu ma2 yaliyopigwa Hiroshima na Nagasaki yalikuwa atomic sio nyuklia wala Hydrogen Atomic ni cha mtoto![]()
Nguvu ya tetemeko la ardhi lilikuwa limepimwa likiwa ni 6.3
Na uzito wa bomu hilo ni kiloton 100
Ni zaidi ya uzito wa bomu la nyuklia ambalo lilitupwa na Marekani mjini Nagasaki mwezi August mwaka 1945 na kumaliza vita vya pili vya dunia.
Hii ni ishara kwamba Korea Kaskazini hajaogopa vitishoi vya Marekani na washirika wake Japan na Korea Kusini ambao walikuwa wakifanya mazoezi ya kutisha katika ukanda wa Korea.
Njia ya kumaliza huu mgogoro ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na kauli za raisi Donald Trump kama ile ya Korea Kaskazini kukumbana na hasira na moto wa Marekani kuishambulia Korea Kaskazini, ni mazungumzo na majadiliano.
Kim hatanii na sasa yupo tayari kukabiliana na nchi yoyote ile.
Lakini safari hii wakikinukisha hatobaki mkorea hata mmoja,kama Urusi alitishia kutumia nyuklia kwa waislamu ndo Marekani ashindwe kuitumia kwa Korea. Anaweza akampiga na hakuna wa kumzuia ila sema tu subira yavuta heri...North korea hawataki kurejea hali iliyowapata miaka ya 50,
ile vita wamarekani walitupa mabomu kuliko hata katika vita vya pili vya dunia,
mabomu tani 650,000?
Mji wa pyoyang uliharibiwa wote majengo ya maana yaliyobaki ni mawili tu yakiwa yamesimama.
Ilifikia hatua ndege za marekani zilikosa kitu cha kushambulia kwani walikuwa wameharibu kila kitu.
Wakorea milioni 3 walikufa,na hiyo ni karibu nusu ya wananchi wa korea,
baada ya hapo wakorea waliapa ,Never again are we going to be so weak,and if we are to die,we will take them with us.....
Ile ya Hiroshima na Nagasaki ni nini mkuu?Ujue nuke haijawahi kutumika kushambulia popote!
Hydrogen bomb ni mchumba wa nuclear bomb.
Atomic bomb
hahahhaha kwa hiyo unataka kusema nini kiongozi???Kwahiyo umemuona Trump hana akili hadi ajichinganye,Kim amesha kuwa wamoto,
Sent using Jamii Forums mobile app
The problem ni kuwa Nk hawana busara...dudes are ready for war, with the recently tested ICBMs lets pray for US to calm down other tutegemee vita ya 3 ya dunia.
Busara za Us ni muhimu sana kumaliza huu mgogoro.
hahahhahaha umeona eeeh sana zinavutia sanahizi nyuzi zinazohusu NK na USD zimekua kivutio sana. Kila koment inapitiwa!!
bado nakataa mpaka unipe maelezo yanayojitoshelezaMtazamo wako tuu mkuu..
Kama wewe hukusoma historia sawa tuu.
Ila siku hivi vita ikianza ndio utaelewa kwanini yanapigana mataifa machache afu inaitwa vita ya dunia
labda south walimwambia walivyokuwa wana chukuwa mazoezi ya kivita kuwa north wana tucheka maana mazoezi yetu wao walisha malizaKuna uzi humu nimeuona Trump anataka kujitoa S. Korea. Huku akipiga mikwara. Alivyo kuwa anarusha maneno ya mipasho twitter, naona sasa hivi amenywea. Kaona dogo yupo vizuri.
mkuu hatujawahi kushiriki kombe la dunia!!!bado nakataa mpaka unipe maelezo yanayojitosheleza
Nenda kasome vizuri kuhusu nuclear bombs..Atomic bomb
kwa hiyo inaifanya iitwe vita ya dunia!We hujui kuwa Babu yako alikwenda kupigana hivyo vita?
Hivi Burma iko Ulaya?, vipi kuhusu Japani (Horoshima na Nagasaki) iliyopogwa Mabomu ya Atomic na Marekani nayo ipo Ulaya?, Marekani nayo hipo Ulaya?
Hauna Habari ya vita vilivyopigana hapa Tanganyika kati ya Wajerumani na Waingereza wakiwa na Wabelgiji? Hivi huna habari kuwa Wajerumani walikuja na Askari wao kutoka Africa ya Kusini (Sykes na wenzie) na Wanubi wa Sudan kupigana hiyo Vita?
Au ulikuwa unatania tu?