Mzee mmoja mkazi wa Iyunga Mbeya mjini,alimtafuta kijana ili ampe hela,akampige mtu nondo na yy kuiweka kwenye biashara yake ya nyama.Alimpata kijana mmoja na kumlipa pesa,ili akampige nondo mtu yeyote,yule kijana baada ya kuchukua pesa,akaenda akaipiga mbwa na ile nondo,na kumrudishia yule mzee ikiwa na damu kidogo(ya mbwa)Mzee akafanya mambo yake usiku na kuiweka kwenye bucha yake.Kesho yake,pale buchani pake hakuna mtu aliyekuja kununua nyama,ila palijawa na mbwa nyingi ajabu!