Non alcoholic wine

Non alcoholic wine

Zipo nyingi tu,pita shoppers utazikuta,morogoro store zipo,masaki zipo sea cliff village kuna duka lingine pale
Kinywaji hicho kitaitwa Champagne au jina lingine. Ila ukisha taja wine,otomatikali lazima kilevi kisikike. Ni sawa na kusema Konyagi isiyolewesha
 
Namna hiyo.
Kuna kipindi nikiwa chuo, tukamix nyingine ikabakaki. Hehehhe si tukaipiga kule ofisini, nililewa😂😂😂😂
Sasa Faza alipoingia na kukukuta ktk hali ile ilikuwaje kwa mfano. 😠 😠
 
Zipo tele. Nenda supermarkets utazikuta za kutosha,bei ni kuanzia elfu 10 na kuendelea
Mkuu,kikawaida,tukiacha lugha za biashara,wine ni nini? Achana na haya mambo ya kuchakachua. Uharisia wa wine, ni hiyo alchool
 
Ndugu kunywa maji na juice ulotengeneza mwenyewe usiweke sukali hivi ndo vinywaji vyetu hayo mengine waachie wanywaji hakuna wine isokuwa na alcohol.
 
Kinywaji hicho kitaitwa Champagne au jina lingine. Ila ukisha taja wine,otomatikali lazima kilevi kisikike. Ni sawa na kusema Konyagi isiyolewesha
Champagne ina kilevi cha kutosha.
Hizo ni wine non alcohol unajipimia kuanzia 0.0-0.5
 
Scientist nimekubali kutokubaliana mkuu.
Nop Hiyo sio kukubali kutokukubaliana ni kukataa Upotoshaji wa wazi..
  • Kwanini Mpotoshe?
  • Unataka Uattain nini Kupotosha watu?
  • Unafaidika nini na Upotoshaji huo?
  • Unaona uko salama kama ukipotosha leo umewaza kuhusu kesho na kizazi kijacho?
  • Hauoni kama unazidi kutengeneza Taifa la wapotoshaji endapo watu wakichukua Point yako kama Ukweli?
  • Huoni kama Unaangusha Taaluma yako kama ukijikita kwenye Kusema Uongo kila siku?
  • Uongo ukisemwa sana Hugeuka ukweli
 
Sawa mkuu mawazo yako yatumike kama mwongozo.
 
Back
Top Bottom