Non alcohol wine naipata wapi?

Non alcohol wine naipata wapi?

Ukitaja neno "wine", alcohol haikwepeki, tafuta juice ya zabibu
 
Hakuna wine iso na kilevi... Kinachotokea ni kwamba kadr inavyokaa sana ndo inakua strong(kilevi kinakua kikali)
 
Wine inasindikwa, vile viambaupishi hata usipoweka hamira (ambayo ndo source ya alcohol kwenye wine) huwa vinazalisha alcohol japo itakuwa siyo kubwa
 
Back
Top Bottom