Bora ungemwambia St.Anna,Altar ina 18 alcohol.Cheki altar wine weweView attachment 2315665
Sina jinsi..Waambie unahitaji shampeni!! Utapewa.
Sina uhakika sana lakini ni vigumu sana kupata wine isiyo na alkohol hata kidogo. Nyingi unakuta kunakuwa na percentage ya alkohol japo inaweza kuwa kidogo sana. Niko tayari kusahihishwa!Sina jinsi..
Napenda sana taste ya maji ya zabibu nzito kama wine.shampeni hapana
Oooh Ribena...long kitamboKunywa Ribena.
Nipo mbezi makabeUko wapi niifuate jpili hii?
Ni kweli hakuna kitu kinaitwa non alcohol wineKuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
![]()
![]()
![]()
eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne
Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza un alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
Wee acha kabisa,Kuna moja inaitwa Thomson & Scott.
Ila kuna nyingine huwa natumia haileweshi na sijui kwa nini waliiwekea parentage za Alcohol,
Tumia Drostyd Hof.
Huyu jamaa hamtakii mema mtoa madaKatika wine hatari droatyd hof nimoja ya wine ngumu sanaa

Huyu jamaa hamtakii mema mtoa mada
Kuna mwalimu mmoja alizoea bia tulikua nae kamati ya harusi, tukamkaribisha akaanza kubugia Kama anakunywa bia.
Masaa 2 mengi akaanza kupinga yowe anataka tumuitie MKE wake aje![]()







Pamoja na kuwa situmii hiyo kitu ila najua Ili iitwe wine lazima iwe na ALCOHOL;Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%).
Kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.
Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
Sio anywe VIMTO ?Wewe fanya kunywa Fanta tu usichoshe watu humu
Kumbe...Ni sawa na kuulizia pombe isiyolewesha![]()