Non alcohol wine naipata wapi?

Non alcohol wine naipata wapi?

Ss kwani Dsm imeishia mbezi tu,Njoo pia huku kitumbini,njoo k.koo mtaa wa mkunguni huku
Ukipita huko niulizie tu mkuu niifuate commission yako ipo....naogopa nitapuyangaa sana door to door
 
Kuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
🤣 🤣 🤣 🤣 eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza un alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
Upo sahihi 100%
 
ni vema kujua kwanza nini maana au tafsiri ya wine kwa kiswahili ni nini,ukishajua ndio utajua kama unachokitafuta unaweza kukipata,kwa tafsiri ninayoifahamu mm wine ni mvinyo na maana halisi ya mvinyo ni kinywaji cha kileo kilichotengenezwa na uchachu wa asili wa zabibu au juisi nyingine yoyote ya matunda.
(kileo)
Kwa kifupi hakuna wine yenye 0.0%ABV...hakuna!! wine yoyote ni matokeo ya fermentation ambayo itazalisha ethanol,co2.

Mleta mada utapata wine yenye kilevi kidogo ila sio 0.0% hicho kitu hakipo. Afu uache kutusumbua we mama!! km unataka hiyo taste nunua wine mix na maji alaa!
 
kwa kifupi hakuna wine yenye 0.0%ABV...hakuna!! wine yoyote ni matokeo ya fermentation ambayo itazalisha ethanol,co2.

Mleta mada utapata wine yenye kilevi kidogo ila sio 0.0% hicho kitu hakipo. Afu uache kutusumbua we mama!! km unataka hiyo taste nunua wine mix na maji alaa!
Aaaah
 

Attachments

  • Screenshot_2022-08-08-21-04-29-768_com.android.chrome.png
    Screenshot_2022-08-08-21-04-29-768_com.android.chrome.png
    89.4 KB · Views: 37
Back
Top Bottom