Non alcohol wine naipata wapi?

Non alcohol wine naipata wapi?

Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%)..
kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.

Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
Ss kwani Dsm imeishia mbezi tu,Njoo pia huku kitumbini,njoo k.koo mtaa wa mkunguni huku
 
Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%)..
kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.

Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
si unywe juic ya embe tu
 
ni vema kujua kwanza nini maana au tafsiri ya wine kwa kiswahili ni nini,ukishajua ndio utajua kama unachokitafuta unaweza kukipata,kwa tafsiri ninayoifahamu mm wine ni mvinyo na maana halisi ya mvinyo ni kinywaji cha kileo kilichotengenezwa na uchachu wa asili wa zabibu au juisi nyingine yoyote ya matunda.
(kileo)
 
Back
Top Bottom