Non alcohol wine naipata wapi?

Non alcohol wine naipata wapi?

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
273
Reaction score
469
Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%).

Kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu.

Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine isiyo na kilevi kabisaaa
 
Kuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
🤣 🤣 🤣 🤣 eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza non alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
 
Kuna siku nimeenda Sinza nikawa naulizia madukani aisee nikakutana na mchaga mmoja alinambia hivho kitu hakipo. Anadai wine ni kitu kilichochacha na hakiwezi kukosa alcoholi
eti ukiona haina kilevi hiyo ni champagne


Ila kwenye vipindi vingi vya South nimeona wanauza un alcoholic wines, ila bongo sijajua kuwa zinauzwa wapi. Ila kama ukiona wines hazipo unaweza furahia kutumia champaigne. .
Napenda sana taste ya maji ya zabibu nzito kama wine.shampeni hapana
 
Cheki altar wine wewe
download (1).jpeg
 
Hahaha unatakiwa unywe champagne ndugu....non alcoholic...sasa haupendi kilevi kwanini unataka ufanane na wanaotumia kilevi...??
Napenda taste ya zabibu nzito..niliambiwa zinapatikana wine zisizo kilevi
 
Back
Top Bottom