Noma sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ushimen: Uchochezi huu
 
Alafu wachafu hadi jikoni...
Jiko lote linanata uchafu
 
Moja ya wajibu wa mwanaume ni pamoja na kumfundisha ama kumuelekeza mke.
Kutokujua kupika kwa mke, hilo sio kosa bali mwanaume anapaswa amuelekeze mkewe apike aina ya chakula kama inavyo mpendeza yeye mume
Kama ajui ajui tu ata ukimfundisha samaki mkunje angali mbichi ukimkunja akiwa mkavu anavunjika mkuu Ushimen:

Kalikimbia jiko akiwa mdogo kwa wazazi wake ataweza kwa mumewe...matokeo yake
Kila kitu wanafanya house girl
 
Hivi mwanaume ukamfundishe mkeo kupika?, kwani si alizaliwa na kulelewa kwao??

Jiulize miaka yooote huko kwao alikuwa anafanya nini, mpaka hajui kupika.
 
Kama ajui ajui tu ata ukimfundisha samaki mkunje angali mbichi ukimkunja akiwa mkavu anavunjika mkuu Ushimen:

Kalikimbia jiko akiwa mdogo kwa wazazi wake ataweza kwa mumewe...matokeo yake
Kila kitu wanafanya house girl
Okay, kwahiyo unataka niamini kwamba mke kama alitoka nyumbani kwao na hajui kupika ugali na mlenda, basi huyo dawa yake ni talaka kwasababu hata ukimfundisha na kumuelekeza hawezi akaelewa...[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
Mkuu, binafsi sikubaliani na hii hoja ya kufukuza mke kwakua tu eti hajui kupika.
Hili swala la kumuhuku mke kwamba hajui kupika (hajui kupika nini) ni jambo la kulitazama kwa jicho la 3. Kwasababu watu tumetoka kwenye familia na mazingira tofauti sana.
Kwamfano wapo waliotoka kwenye familia zilizo kula Pizza & Juice, Ndizi/Mtori & Chai, Wali & Nyama, Ugali & Mlenda, Makande & Njegere and Ect:
Sasa kidogo napata ugumu sana kukabiliana na hili la kwamba mke afukuzwe eti kwasababu hajui kupika.
 
Nimempenda uyo dada sio mchoyo wa fadhila

Lakini mtihani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…