Yani jamaa hovyo sana hata kama ningekaa saa bila kuchangia bado tangazo ni la hovyo.Yani hii thread imeniacha hoi sana. Yani kama vile mlikuwa mpo kwenye kijiwe pamoja Black Marxist, Ibuo na Usiende kariakoo. Afu mnabishana kwa pamoja.
Mbona 6GB RAM, Internal Memory 256GB. IPO sokoni kitambo. inaitwa6GB RAM ni kupapasa tu
Mkuu sijaisikia hiyo ngoja niichungulie kwa net. Hiyo internal memory mkuu hard disk hiyo haaaaaMbona 6GB RAM, Internal Memory 256GB. IPO sokoni kitambo. inaitwa
Asus zenfone 3.
Ila bro umemnyoosha kwelikweli. Sithani kama ata toa vitu vya ovyo kama hivi.Yani jamaa hovyo sana hata kama ningekaa saa bila kuchangia bado tangazo ni la hovyo.
Mbona 6GB RAM, Internal Memory 256GB. IPO sokoni kitambo. inaitwa
Asus zenfone 3.
Wacha kulialia kaangalie alichoandika Vanmedy kuhusuiana na hii habari yako! Wenye akili ndo huwa wanafanya hivyo!!kama wwe ulivyo ovyo ovyo
Hiii ndio habari,unaleta issue iliyokamilika sio yule wa juu sijui alikua anakimbizwa?
Kwa hiyo nokia wamefanya branding au imekuwaje? Au ni simu zimefanana specs tu?Mbona 6GB RAM, Internal Memory 256GB. IPO sokoni kitambo. inaitwa
Asus zenfone 3.
![]()
..ndugu zenfone 3 haina uwezo ambao umetuambia hapo... check again kwa utulivu
ASUS Zenfone 3 Deluxe Special Edition ZS570KL 5.75.7"
2160p 24MP
Snapdragon 835 6GB RAM
inahamasisha zaidi
Anha deluxe special edition.. ok kiongozi
ASUS Zenfone 3 Deluxe Special Edition ZS570KL 5.7
Details
This item has
- ASUS Zenfone 3 Deluxe Special Edition ZS570KL 5.7
Processor Chipset QualcommMSM8996 pro (S821)
CPU Quad-core CPUs, 2.4GHz
GPU Adreno 530
Network Peak Data Rate (1)(2)(3) "DC-HSPA+ (DL/UL): 42/5.76 Mbps;
LTE CAT 12
3CA (carrier aggregation)"
System GSM/LTE
4G Band 4G: FDD-LTE 1/2/3/4/5/7/8/12/17/18/19/20/26/28/29/30
SIM SIM Dual SIM - DSDS
Type "Micro SIM
Nano SIM or Micro SD(2 choose 1)
(one SIM support 2/3/4G, the other SIM support 2/3G voice only), software setting"
OS:Android M
AMAX: ZenUI 3.0 (2016)
Display
5.7-inch
Type AMOLED with Glorilla 4 & AS coating, 16:9 , Wide active matrix;glossy
1080 x 1920 Resolution
Touch Capacitive touch panel with 10 points multi-touch (support Glove touch)
Design/Chassis Back-cover Metal Uni-body
Color: Silver
Battery (4)3000mAh, non-removable with QC3.0
Memory: 6GB RAM
Storage: 256GB
SD Card slot Micro SD Card Support (Up to 128GB)
Sensor:
1. Accelerator
2. E-Compass
3. Proximity
4. Hall sensor
5. Ambient light sensor
6. fingerprint sensor
7. RGB sensor
8. IR sensor
9. Gyro
10. NFC
WLANIntegrated 802.11ac ;WiFi-Direct
BluetoothBluetooth V 4.2 ( EDR + A2DP )
Bluetooth Profile:A2DP + AVRCP + HID + PAN + OPP
FM RadioSupport
GPS Support: GPS, aGPS, Gloness,Beidou
Interface
Type C with USB 3.0 connector, OTG
Audio jack
Finger Print Sensor
Camera Front Camera 8M/FF with single Flash (Fix Fcous-FF)
Main Camera "23M with OIS/EIS and HDR Vedio F2.0
f/2.0"
Laser Focus Yes , PDAF+Laser+AF=TriTech Auto Focus
Flash LED Rear Dual Flash
Video Recording4K video recording with stabilization
AudioSupport hi-res audio (192K reolution)
MicrophoneMicrophone*2
Adaptor18W
Fast CharingSupport 39 / 60%)
NFCSupport
ButtonPower and Volume Up/Down
Warranty
- ASUS Zenfone 3 Deluxe Special Edition ZS570KL 5.7
Accessories in Gift Box:
Type C to A Cable
Adaptor
Earphone Headset
User Manual
Warranty Card
- Warranty : 1 years
- Service Website :onlineservice@asus.com
- Service Line : 1-855-755-2787