NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

hivi freemason huo msamiati unapatikana kamusi ipi coz hizo maana zake hadi zinachanganya?
 
Hivi unatania au upo serious.
Kama ndio uwezo wako umeishia hapo basi unahitaji kumuona dakitare.
 
jamani jamani haya sie tupo ila naaamini kuna watu watakuja kupata ukichaa kwa kufuatilia hayo majitu
 
I got this from a friend and i would like to share it with you Wakuu!!
Angalia tafsiri ya neno "NOKIA" neno hili limejengeka kwa lugha 2 tofauti KINGEREZA na KIKOREA.
Neno "NO" ni la Kingereza lenye maana ya kukataa!mfano: 'Hapana" "Hakuna".
Na neno "KIA" ni la kikorea lenye maana ya "Mungu", kwa hiyo ukiunganisha"NO" na "KIA" utapata "NOKIA" lenye maana "HAKUNA MUNGU".
Zima simu yako ya Nokia halafu iwashe uone mikono miwili wa M/mme na M/mke wanapeana support kukubali neno hilo .
"HAWA SI WENGINE ILA NI FREEMASONS."

Be careful na hizo conspiracy theories/assumptions. Kuna wenzio zimewaharibu akili. Hata Apple na Steve Jobs wameambiwa ni freemasons. Wengine ni Obama, Mandela, JK, Ja Z, Pope John II, Desmond Tutu, Nyerere, Kenyatta etc.
Huu ni upuzi na time waste. Hata kama ni freemasons so what?
 
I got this from a friend and i would like to share it with you Wakuu!!
Angalia tafsiri ya neno "NOKIA" neno hili limejengeka kwa lugha 2 tofauti KINGEREZA na KIKOREA.
Neno "NO" ni la Kingereza lenye maana ya kukataa!mfano: 'Hapana" "Hakuna".
Na neno "KIA" ni la kikorea lenye maana ya "Mungu", kwa hiyo ukiunganisha"NO" na "KIA" utapata "NOKIA" lenye maana "HAKUNA MUNGU".
Zima simu yako ya Nokia halafu iwashe uone mikono miwili wa M/mme na M/mke wanapeana support kukubali neno hilo .
"HAWA SI WENGINE ILA NI FREEMASONS."

Kuna wanaodai hata Osama na Ghadafi nao eti freemasons!
 
km ni tafsiri tu hata mm naweza kukutafsiria wewe kuwa u FREE - MA - SONS

FREE kuwa huru kwa lolote

MA MAN - mwanamme mtafutaji wa mali atafutaye heshima hapa duniani

SONS
Watoto wa kiume wa uzao wa ....

Hebu na wewe tafsiri FREEMANSON, FREE-MASONS
 
Empty man hujambo? Lini utakuwa na kitu kichwani?
 
Hivi unatania au upo serious.
Kama ndio uwezo wako umeishia hapo basi unahitaji kumuona dakitare.

Nikweli mkuu anayosema mleta mada japo haina maana kua ni vibaya kutumia sim za nokia.na pia kwa taarifatu nikwamba kampuni nyingi za sim au zote wamiliki wake ni freemason.hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao kwa njia yoyote lwakua asilia 95 ya mahtaji muhm ya mwanadam yapo mikononi mwao. Inahtaji muda na umakini mkubwa wa kuyajua haya.mf; ukiangalia vifaa vya LG logo yake nialama yao unaweza kukataa.ila ichunguze ile logo vizuri ni sanam yenye jicho moja.imekua hiyo kwakua watu huamini shetani hua anajicho moja na pia ana pembe mbili.na ndio maana hata ukichunguza matajiri na wanaziki kama mzee wa alamba taarabu nk.kwenye nyimbo zao wakicheza huonyesha ishara ya vidole viwili kama ishara ya kumtukuza huyo shetani mwenye jicho moja na pembe mbili.
 
Hivi huu up-unguani wa u-freemason utaendelea kutafuna akili za vijana wetu hadi lini? Kila kitu kinahusishwa na dhana hio! Hivi we mtoa mada, umeingia ktk website ya nokia na kukuta definition hio ya jina lao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom