Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Mtu hawezi kununua simu kwa ajili ya feature moja tu, kama ni kamera Samsung anamkimbiza sana Apple kwenye kamera lakini haifanyi mauzo ya Apple yapungue kwa sababu hiyo, nataka kujua atakuja na features zipi ambazo sio za kiushindani bali za kipekee ambazo wengine hawana zitakazowafanya wateja wabadili mawazo na kuhamia kwake, maana kumbuka Nokia ataingia kwenye mpambano wa kupora wateja wa kampuni nyingine na anahitaji nguvu ya ziada kuwateka hao watejaeka pureview camera tu tayari ushaifanya ipo level nyengine
Nokia ana fans wengi duniani anahitaji tu decent phone atauza tu. kama alifanikiwa kuuza windows phone sidhani kama android itakuwa tabu.Mtu hawezi kununua simu kwa ajili ya feature moja tu, kama ni kamera Samsung anamkimbiza sana Apple kwenye kamera lakini haifanyi mauzo ya Apple yapungue kwa sababu hiyo, nataka kujua atakuja na features zipi ambazo sio za kiushindani bali za kipekee ambazo wengine hawana zitakazowafanya wateja wabadili mawazo na kuhamia kwake, maana kumbuka Nokia ataingia kwenye mpambano wa kupora wateja wa kampuni nyingine na anahitaji nguvu ya ziada kuwateka hao wateja
mkuu kuna ukweli wowote wa pureview kurudi tena kwenye android kuna tetesi kuwa zeiss atabaki na microsofteka pureview camera tu tayari ushaifanya ipo level nyengine
acha kuchafua uzi mkuu na Vitu vya kijingaTecno l 8
Ni kweli kabisa Nokia ana fans wengi na mimi ni mmoja wao, kama alifanikiwa kuuza Windows phone swali la kujiuliza je ilikuwaje Nokia akapotea na sasa hivi anatafuta kurudi kama ninavyoaminishwa na fans wenzangu hapa!?Nokia ana fans wengi duniani anahitaji tu decent phone atauza tu. kama alifanikiwa kuuza windows phone sidhani kama android itakuwa tabu.
Nokia X series zilikuwa sio simu nzuri wala hazikuwa na specs kubwa lakini ziliuza sana, website moja tu ya online ya china inayoitwa JD iliuzwa unit 574,000 ndani ya siku 5 tu.
Nokia XL Clocks 574,000 Sales in China in 5 Days
na kuhusu camera, lumia 1020 na Nokia 808 zote zimeuza kwa ajili ya camera tu, watu wengi tena sana wanapenda camera, na nokia pia ana vitu kibao ambavyo toka aondoke sokoni hadi leo hakuna ambae katengeneza vizuri zaidi
-HAAC mics
-Clear black Display (pamoja na Nits)
-Build quality simu ikae miaka 5 hadi 10
pia ukiwa na simu ya Nokia unakuwa na Amani na vitu vyao sio simu za marekani wala china, hawakuibii Data kama wengine wanavyofanya
pia usifananishe camera za samsung na Apple hizo sio proffesional zina sensor ndogo hazina xenon flash, hazina zoom yoyote ya maana etc. japo zinatofautiana uzuri ila pro hawezi acha camera yake nyumbani kwa ajili ya simu hizo
mkuu nokia aliifanya windows phone kuuza 10+ milion units, toka nokia aanze kutoa simu za wp8 hakuna quarter ambayo mauzo yalishuka, muda wote yalikuwa yakipanda tu mpaka department ya simu ilipouzwa msft, ni msft wenyewe ndio walibugi ila sio Nokia.Ni kweli kabisa Nokia ana fans wengi na mimi ni mmoja wao, kama alifanikiwa kuuza Windows phone swali la kujiuliza je ilikuwaje Nokia akapotea na sasa hivi anatafuta kurudi kama ninavyoaminishwa na fans wenzangu hapa!?
Kuhusu camera, ni professional gani ataacha dslr camera abebe camera ya simu hata kama ni pro camera kwenda kupiga picha za kazi yake!? Camera za dslr bado zina Technology ya hali ya juu sana kiasi kwamba Camera za simu zitachukua mda mrefu sana kuzireplace camera za dslr kwenye market
Kuhusu data security Nokia alikuwa vizuri tu alipokuwa anatumia closed OS kama windows phone, Symbian, Maemo n.k lakini sio kwenye hii OS ya Android ambayo ni open OS, unless aanze kuifanyia modifications na iwe tofauti kabisa kitu ambacho hata blackberry kakishindwa kakubali yaishe
pureview kama jina halirudi ila Technology inamilikiwa na Nokia, microsoft anamiliki tu brand name.mkuu kuna ukweli wowote wa pureview kurudi tena kwenye android kuna tetesi kuwa zeiss atabaki na microsoft
pia ukiwa na simu ya Nokia unakuwa na Amani na vitu vyao sio simu za marekani wala china, hawakuibii Data kama wengine wanavyofanya
Wameachana na window ?Wametumia android 7, hapa tz ndo simu mpya mpya wanaanza kutumia android 6
Wameachana na os ya Microsoft au bill ameamua kufuata soko na sio soko limfuate
Vipi kuhusu Microsoft 650 au 800 ?, mi nataka kununua hiyo simuNokia kwenye batteries wapo vizuri mno uliza kuhusu nokia lumia 1520 ilikuwa na mAh 2500 lakini ilikuwa simu bora yenye kukaa na chaji
Mkuu Microsoft 650 ni shs ngapi ?samsung ipi? ina element nyingi ya fabula design ambayo ni design ya Nokia.
kwa nyuma
kwa mbele
kama huna Ushahidi wewe ndio unaetapatapaUnapokuwa unageneralize mambo kirahisi huwa inasikitisha.
huwezi jua anachokifanya chura akiwa chini ya maji.
Nokia anatapatapa.
ni simu ya muda kidogo, hivyo bei zake itategemea na deal utakalopata mwenyewe, pengine laki 4 hivi unaweza ipataVipi kuhusu Microsoft 650 au 800 ?, mi nataka kununua hiyo simu
Bora wangeizindulia Chatokweli haijafanya uzinduzi china sijui kwa nn nokia wakaamua kuzindulia simu yao hii china
jamaa mbona hajatest camera ya mbele huyu ,, afu naona aosp kama ya xiaomiGuys simu imeingia sokoni na review zimeanza kutoka
Camera review vs one plus 3t
Pole sana kwa uelewa wako, naona hujamuelewa Chief.kweli haijafanya uzinduzi china sijui kwa nn nokia wakaamua kuzindulia simu yao hii china
Acha bhana Mkuu!Kuna noka edge inakuja hiyo ndio itawarudisha kikwelikweli
Aha ha ha ha ha ha!Ntaifanya kama second phone. Hakuna OS nnayoichukia kama Android.