Nokia 808 with 41mpx....

Nokia 808 with 41mpx....

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,599
Reaction score
104,564
Wakuu sorry, hivi nakoseaga kusoma ni 4.1mpx au serious 41? Nadhani hii ndio simu yenye camera yenye mpx kubwa kuliko zote ulimwenguni! Mpx 41 mmh.. smartphone nyingi zikijitahidi saaaana zina 8mpx.

Au ukubwa wa pixels hauna huusiano wowte na ubora wa picha taken?
 
hio ina 41 megapixel sema picha ya juu kabisa ni 38 megapixel inachofanya kuna kitu kinaitwa pixel oversampling inachukua picha ya za megapixel kubwa then inaproduce picha ya megapixel ndogo yenye quality kubwa.

hajawah kua compared na simu nyengine ikashindwa
 
Duuh, mie nilikua najua ni biashara tu, sasa inazifunika hadi camera digi
 
Mbona cm znazofunika camera za dgtl ni nyingi sana sasa hv
mkuu simu haiwezi funika camera bado sana vilenzi vyao vidogo na ukitaka simu ifunike digital au hata zifanane lazima uharibu shepu ya simu.

Ndio mana 808 nokia na galaxy camera nyuma zimebinuka zikapoteza shoo ya simu
 
Back
Top Bottom