๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฑ ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐Ÿต ๐—ฝ๐—ฟ๐—ผ

๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฑ ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐Ÿต ๐—ฝ๐—ฟ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
1_20250816_105534_0000.png


๐Ÿ—ฏ๏ธ Simu ya Google pixel 9 pro ni moja wapo ya simu Nzuri Toka Google kwa matoleo ya flagship smartphone,

Ikiendeshwa na Teknolojia kubwa ya AI, nzuri kwa wale wapenzi wa photography bila kusahau support ya muda mrefu ya software.

2_20250816_105534_0001.png


๐Ÿ—ฏ๏ธ Lakini kwa upande wa simu za kichina leo nakuletea baadhi ya simu ambazo zina uwezo sawa na Google Pixel 9 pro hivyo zinaweza kuleta ushindani kwenye Matumizi dhidi ya simu hiyo toka Google.

3_20250816_105534_0002.png
4_20250816_105534_0003.png


โœ… Xiaomi 15 Ultra
โœ… Vivo X200 Ultra
โœ… OnePlus 13
โœ… Oppo Find X8 Pro
โœ… Huawei Pura 80 Ultra

5_20250816_105534_0004.png
6_20250816_105534_0005.png


๐Ÿš€ Hizi ni simu nzuri sana kuanzia kwenye suala la Processor zinakuja na Processor zenye nguvu zenye uwezo mkubwa sana kwa Matumizi ya photography, content creator hata wale watu wa Gaming unaweza tumia hizi simu.

๐Ÿš€ Camera bora kabisa zenye uwezo mkubwa wa kutoa picha kali sana kwa ubora wa hali ya juu bila ukungukungu au kubadilisha Muonekano wa eneo fulani ๐Ÿ“ธ yani hapa picha ni za ki professional.

7_20250816_105534_0006.png


๐Ÿš€ Vioo vya hivi simu ni balaa vina Muonekano mzuri vikiwa na muundo wa AMOLED display yenye kutunza macho yako dhidi ya mionzi inayotoka kwenye simu yako.

8_20250816_105534_0007.png
9_20250816_105534_0008.png


๐Ÿ”‹ Betri zake sahau kabisa kupata joto hizi simu ni kiboko Aiseeeh unatumia mpaka unasahau kama mara ya mwisho kuchaji simu lini .



๐Ÿ“ถ Software support zake ni za muda mrefu hivyo Utaweza kupokea android support version bila shida yoyote kwa muda mrefu.

๐Ÿ—ฏ๏ธ Simu ziko nyingi ila hizo ni mojawapo ya simu Nzuri zinaweza kushindana na Google Pixel 9 pro na Zikashinda.
 

Attachments

  • 10_20250816_105534_0009.png
    10_20250816_105534_0009.png
    637 KB · Views: 36

Similar Discussions

Back
Top Bottom