Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

Halafu hapa anaweza kuwa amekaa kwenye gogo,halafu akapachika.....

1700858896024.png
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Mimi sitapeli tembelea social media zangu Sina stori mingi tuna share yako na yangu nikikuomba pesa niote mbwa
Akasema wewe ni tapeli wala sina ushahidi wa kuwa wewe ni tapeli. Naelimisha watu kuwa hii ishu ni ngumu kuliko wanavyofikiria. Na watu wanatapeliwa kila siku.
 
Habari hili ndo chapisho langu la Kwanza kuandika ndani ya jamii forums na nimeona niandike ili kuwazindua vijana wenzangu kuhusu utapeli unaondelezwa na vijana wanaojifanya wanafanya forex nchini Tanzania.

Mimi binafsi nilijifunza forex na ni biashara ilonivutia sana baada ya kuona jinsi vijana mitandaoni wanavoipamba biashara hii, ila kiukweli ni tofauti na uhalisia, biashra ya forex ipo kweli na inafanya kazi kweli ila kwa Tanzania bado sana, watu wanaingiza pesa kwa kusomesha watu, kuuza ma bots na kufanya Acc Management.

Kuna mkasa ulionitokezea hadi nikaamua kuandika hili chapisho.

Kuna kijana mtanzania maarufu sana tiktok na insta anajiita noebillions huyu kijana amejikita kufanya forex kwa kutumia bot na kuaminisha watu kuwa anapata faida maradufu kwa mtaji mdogo, jambo ambalo sio kweli kiuhalisia.

Kwanza naomba kuelezea jinsi alivyonitapeli:

Noebillions nilianza kumjua instagram na nikamzoea kwa kuchat nae hadi niliwahi kumuomba kufanya nae interview akakubali ila sikufanya nae kwasbabu zangu mimi zilikuw nje ya uwezo wangu.

Kuna siku alisema anatka kukuza acc za watu ndani ya wiki moja na ili upate huduma hii umlipe 500K kama ada then ueke dollar 50 kwenye acc yako ili akukuzie acc yako. Nilifanya uchunguzi then kwa ujinga ukanipitikia kwasababu nilishajenga mazoea nae nikamtumia hela.

Baada ya hapo ndo nikapata funzo ambalo limenifanya niwazindue na wenzangu.

Akaanza kuniblock twitter, akafata insta na akafuta chat zetu ila nahskuru Mungu mimi niliwah kuscreenshot chat zote.

Karibuni nitafanya video kuhusu utapeli mzima uloinikuta kutoka kwa kijana huyu ambae vijana wengi wanashawishika kufanya biashara nae aidha kunnua bot kwa kuamini watapat faida nyingi kwa haraka.

Nimalizie kusema mabot kwnye forex ni kweli na mimi natumia ila kiuhalisia hayapo kama vile wanavoonesha mitandaoni so kuwa makini.

View attachment 2822644View attachment 2822646View attachment 2822645
Umetapeliwa kwasababu umeongozwa na tamaa kufanya na sio akili kufanya maamuzi.

Jamaa hajatumia hata akili kubwa.ila siku nyingine mambo yanayo husiana na hela hakikisha HUDUMA IANZWE NDIO HELA IMALIZIE...vinginevyo achana nazo, mtu kama ni legit atakubali HUDUMA YA MALIPO YA BAADA YA HUDUMA.
 
Forex ni scamming kitu pekee kama trader kinaweza kukupa faida ni stocks. Na ku trade stocks hamtaki kwa sababu hamtaki kusubiri. Mtapigwa hela sana, nilitangaza mtu ambaye kwenye Portfolio yake amepata faida kuanzia 40 % ya mtaji wake. Anitumie Portfolio yake kuna nafasi za kazi huku Frankfurt Ujerumani. Hakuna mtu aliyekuja. Wewe mwenyewe kama trading history yako yote 40% ya trading zako zilileta Profit. Leta Portfolio nikuunganishe na Investment firms. Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya na kukataa ukweli.
Boss nakusubiri, au nitajie jina la firm , nikapige kazi. Wengine hizi shughuli tunazifanya, na Mungu anasaidia. Hatuzichukuliii kama stry za wengi wasioelewa kitu. Naomba unitajie hata jina la firm au uniachie namba yako.
 
Am telling you, na ananiambia bora yeye, kuna watu wamepoteza life savings. Jamaa ilikuwa kiingilio 10,000usd. Kakimbilia Dubai na mpunga wote, ndio wanaangaika namna ya kumrudisha
Duuh! Ataua watu na pressure huyo jamaa. 60k usd ni Sawa kama Mil 150 za madafu. Aisee…
 
Jana nlikuwa nazungumza na jamaa yangu nikawa namwambia kuwa siku hizi unafake una ela, unaishi high life then whatever shit you would say people, watu wanaamini.
Usiamini watu ambao wanavaa suti na viatu expensive lakini wamekosa pesa ya sox.
Mentor wa fx karibu wote africa matapeli na ni wauza stratergies ambazo kiuhalisia wao hawazitumii.
Sasa mtu anakublock kwa just 120k tshs si ana njaa huyo
Hawana Hela ya sokisi, hahaaaa
 
DERIV wamefanyia Kazi changamoto ya Kudeposit na kuwithdraw tulikuwa tunawategemea Sana payment agents , yani unamtumia mtu hela ambaye hata hujawahi kuonana naye akuwekee kwenye account yako Hii njia ilikuwa na utapeli mwingi Sana , na muda mwingi DERIV wenyewe walikuwa wanapata changamoto ya kusuruhisha hizi kesi za utapeli .
Pia maagent NI kama walikuwa wanajipangia Tu Rate yao muda mwingi rate ilikuwa chini Sana ukihitaji kutoa , na wanaongeza rate ukihitaji kudeposit

Sasa Kuanzia Jana Tarehe 21 November 2023 NI rasmi Deriv wameongeza njia mpya ambayo haina utapeli unadeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY direct bila kupitia kwa agent yeyote na Rate NI fixed , kutoa NI hiyohyo na kudeposit NI hiyohyo
Minimum deposit NI $5 Tu

Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY

Wale wanaohitaji kufungua account tembelea link Hii Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
Bado wanasumbua saaaana
Kuna third party hapo ambae Ni Astropay, kugenerate code anatumia masaa matatu
Tofauti na wenzako kama Justforex ambae Ni sekunde tu Bila ya kuwepo na huyo third party
 
Nilitapeliwa mara moja na D9 mwaka 2017 sidhani kama nitatapeliwa tena
Kama ningelikuwa na pesa miaka ile ya 2017 basi kwa hakika ningelipigwa na D9 vibaya sana.

Maana niizipata stori zao zikanishawishi kweli kweli ila ndio umasikini tu nikabaki naumia kuzikosa fursa.
 
Hivi mimi kweli nna pesa za FX nihangaike na $50 za kukuza acct za watu? Huo muda wa kufanya upuuzi huo sina. Na yeyote anayepata pesa kwa fx hana upuuzi wa kuuza signal wala kufanya mentoring.
Mmojawapo ni mimi. Kuna siku nakaa masaa karibia 8 sijaona entry unataka mimi nikukuzie account yako? Hell no
$50 ni position moja tu ikimove pipsi 10 on my side. Kwanini nihangaike na vijisent vyako.
 
Back
Top Bottom