Kijana Mr blue ni Moja ya vijana wa kuigwa kwa tanzania

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Wapo vijana wengi ila nazungumzia wasanii Hawa wa Sasa Kila kukicha idadi ya nzige.

Huyu kijana bila wakubwa angekuwa kama mkoa anayetokea madini ambayo hayapo zaidi ya migebuka na funza kwa Sasa chawa.

Mr blue kijana mmoja mwenye mvuto kama sisi wakubwa tunataka vijana wawe mfano.

FB_IMG_1695747555946.jpg
 
Wapo vijana wengi ila nazungumzia wasanii Hawa wa Sasa Kila kukicha idadi ya nzige.

Huyu kijana bila wakubwa angekuwa kama mkoa anayetokea madini ambayo hayapo zaidi ya migebuka na nafunza kwa Sasa chawa.

Mr blue kijana mmoja mwenye mvuto kama sisi wakubwa tunataka vijana wawe mfano.

View attachment 2763221
"Kabla ya Dully Sykes kutoka na Juma nature, nipo kariakoo kwenye zaga tunakesha, Kila Banda Kila store tunasaka pesa...

Upepo ume'change na mambo yote bomba, Hunikosi top twenty wala tatu bomba."
 
Alichofanya cha maana mr blue kuoa na akapata mke sahihi
Sio kuoa tu alipata mwanamke ambaye alikuwa na utayari wa kushikana nae through thick and thin.

Kwa upepo wa mademu aliokuwa nao Mr. Blue kipindi yuko kwenye charts ilihitaji mwanamke mkomavu sana. Blue alioa mapema sana na ndoa sio lelemama ila huyo mwanamama aliji devote sana kwa byser. Jamaa kaacha uhuni sasa ana tofali za kutosha mjini.
 
Back
Top Bottom