'No, we can't ' - is that what our 'Modern' Economists are advising?

Mtanganyika thank you for throwing those insights. I work for a training institution much smaller than UDSM and whenever we have to think of any plan, policy whatever you call it, the big bosses will point out UDSM's plan etc as the template, to the extent of not allowing our own ideas to germinate into something of our own that attends our own problems.

Similarly now we see what is happening at Country level. And if you thought the World Bank economists have higher education than our professors you are very wrong, they only have the name WB behind them, and the lazy Tzs ( yaani sisi) we follow and adore their ill-cooked policies, we simply do not use our brains to even find out what those policies by this butch of youngmen from WB mean to us.

De Soto's is a very good example of how a whole nation can be fooled into believing that poverty is eradictable by making it possible for the poor guys to borrow, as if money (and what it represents) is in its plenty within the nation and only requires you to have a piece of paper to access it and there and then your life changes. Upuuzi mtupu. And Mkapa was one of those guys who embraced and kissed De Soto and who else other than our good and learned professors who supported Mkapa translating this to policy and what you see now happening with Mkurabita!

And as recent as this year we saw yet another 'innovative strategy'- Kilimo Kwanza eti sijui na Green Revolution.....but conceived and hoped to be funded by our big brothers,,,,,

AfRICA Tanzania sijui niipende au nifanye nini, nakulilia mamaaa Africa
 
Tanzania tatizo si mawazo watu wengi wanajua China na nchi nyingine zimefanya vipi lakini Tatizo ni ufanisi. China hawana gold wala mafuta lakini mbona wanaendelea kwa kasi kubwa. Kitu kikubwa na elimu!, Elimu siyo lazima iwe ya vyuo vikuu lakini wananchi wanahitaji elimu ili waweze kufanya kazi na kufundishikika. Hapa marekani watu wenye degree si wengi less than 30% lakini kuna community college nyingi sana na hizi ni za kufundisha watu kufanya kazi mbali mbali. Hatuna haja ya kuiga nchi yeyote ni kufanya kazi kwa bidii, punguza rushwa na elimu na biashara itatatua matatizo mengine

Umegusa penyewe.
Hivi wakati tumejenga secondari za kata, kuna mmoja wetu alikumbuka secondari za ufundi?
Tumelima pamba tangu wakati wa mjerumani lakini mpaka leo hatuna chuo cha textile technology. Per capita tunayo mifugo kuliko yeyote Africa, je ni lini tutawafunza vijana wetu ku-process ngozi na kutengeneza vifaa vya ngozi?
 
Mkuu ni lazima uelewe tafsiri na NDIVYO TULIVYO kisha utaelewa kwamba haiwezekani.. wasomi na wasiosoma hatuna tofauti inapofikia ktk maswala haya..
 
Haya mkuu. Ngoja nianzishe mada nyingi kuhusu hili. Labda kuna dawa ya kutokuwa hivi tulivyo. Kama ipo basi tutaipata humo.
 
You are still in denial. The answer is one step away, uliza bwana umeme, NN.
 
Mtanganyika:

Mfano wako ni sawa na kukataa mechanics wa Tanzania kwa sababu wanachojua ni ku-repair gari za kigeni. Na kuelekeza juhudi katika kutafuta engineers ambao watatengeneza magari kwa kutumia principles za kitanzania. Chances are you would find none.

Kama hutaki wachumi waliofanya kazi WB and IMF kwa sababu wana-influence kutoka katika benki hizo, basi hata hao ambao hawajawahi kufanya kazi kwenye taasisi hizo wanatumia principal zilezile.

Na kwa mtaji huu itabidi uchague wataalamu ambao wanakataa modern principles of economy. Na kwa bahati mbaya watu hao hawapo. Hivyo utaishia kuchagua asiyejua kitu chochote.

Kuna posti kibao humu ndani zinazomsifia Paul Kagame. The truth is the bulk of expertise ambayo Kagame anaitumia ni hile hile ambayo ilikuwa imelala katika nchi zingine za kiAfrika.

PUT YOUR MONEY WHERE YOUR MOUTH IS.

Kutokana na muono wako inaonyesha dhahili ufahamu kinacho endelea ndani ya WB and IMF. Labda nikwambie kwa asilimia kubwa matatizo tuliyonayo leo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hizi organization mbili. Kama una upeo kwenye uchumi basi utakumbuka mwaka 1985 Mwinyi ali adopt ERP I ambayo ili itaka serikali zote za dunia ya tatu kupunguza government spending, based on Regan and Thatcher idealogy of free market au Washington Consensus ambazo zilikuwa zina abudu no government on healthcare, education, kilimo and other things. Matokeo yake ndio tukaingia kwenye huu mtalo tulio leo....

Umemtaja Kagame, labda unatakiwa utazama kwanza Waziri wakanzwa wa Finance wa Kagame alikuwa ana taaluma gani? Sasa huyo bwana yupo African Development Bank. Donald Kaberuka amesoma UDSM.... Ukitioa Mr. François KANIMBA ambaye amefanya kazi WB baada ya Genocide kwa 5 years then sasa ndio governor, tazama wachumi wote wa Kagame kama wana historia ya kufanya kazi IMF or WB, Mtu kama Nshuti Manasseh yeye amesha apa kwamba budget ya Rwanda ya 2010/2011 haitachukua hata mkopo hata cent kutoka IMF ....

Let me give you another successefull story in Africa ni Botswana, katikati ya miaka 1990 raisi wa Bank ya Dunia alimshauri raisi wa Botswana kumuajiri governor jamaa ambae alikuwa anafanya WB. Botswana waka disperch interviewer team ambayo ilikuja kumuinterview jamaa ambae final waligundua kwamba jamaa hana credentials zozote za kuwa governor.

Sasa kama tunataka tuendelee kwanza inabidi tuache upuzi wa kuamini kwamba WB or IMF have solution ya matatizo yetu. Tazama MGDs ( Millenium Development Goal) and MKUKUTA utaona kwamba zile PRSP zote zinafanana kwa asilimia kubwa. Kwamba wehu wachache wamekaa chini wakatengeneza wazimu ambao unawaambia kwamba ukiongeza government aide unaweza kureduce umasikini by 50% in less than 10 years. Madhara yake ndio tuliyo nayo sasa JK amekacha agenda zote za MKUKUTA na hakuna anayezungumzia pesa ambazo tumespend kutengeneza hizo strategic plan ambazo hazina kichwa wa miguu...

Ushauri ni mmoja tuu, nao ni kuwaacha wachumi wa nchi wadevelop strategy based on Tanzania landscape and demographic. Na sio kuadopt strategy based on PhD older ambao wapo NY, never live in Kimbiji, know nothing about poverty and they develop their theory based ideology and not realistic. Huwezi kusema kwamba tukireduce government spending toward subsidize kwa wakulima then tuta archive potential growth. Theory za IMF and WB zime based on Investment=Growth which is not the case all the time there are many factors which need to analyzed before get to that conclusion.

Again, tufukuze wachumi wasiweza kuchallenge idea ambazo hazimake sense kama MGDs and MKUKUTA ambazo zimetengenezwa DC and London na wachumi ambao hawajui nothing kuhusu umasikini..
 
Last edited:
[. The problem I see is that almost all professions in Tanzania have delegated or surrendered professionalism to politics. Politics comes first then the other follows.[/QUOTE]

Hili ndio tatizo kubwa kuliko yote kwa nchi zetu masikini, hili unaweza kuliona katika sehemu kubwa za consultancy zinazofanyika nchini mara nyingi first draft zao huwa zinabeba ukweli then siasa inabadilisha maamuzi katika final document. Pili ukiangalia mabailiko ya siasa na muelekeo wa uwekezaji nchini utagundua kuwa siasa ina role kubwa kuliko ujuzi.(Tazama miradi ya kuondoa umasikini na mabadiriko ya muelekeo wa siasa. Hili nalo unaweza kuliona katika utendaji wa taasisi mbalimbali za serikali, mara nyingi mabadiliko hubadili hata utendaji bila sababu.

Utekelezaji wa uchumi umekuwa ukitoa tafsiri ya siasi badala ya siasa kutoa tafsiri ya uchumi. Wasiasa wako busy kuweka malengo yasio weza fikika kiuchumi, badala ya uchumi kutoka malengo ya kufikiwa kisiasa.
 
Ukweli ni Kwamba Pilitics zimetuharibu sana sisi, Tazama kila sehemu ni Politics, We are so tired with this all illusion
 
Kutokana na muono wako inaonyesha dhahili ufahamu kinacho endelea ndani ya WB and IMF. Labda nikwambie kwa asilimia kubwa matatizo tuliyonayo leo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hizi organization mbili. Kama una upeo kwenye uchumi basi utakumbuka mwaka 1985 Mwinyi ali adopt ERP I ambayo ili itaka serikali zote za dunia ya tatu kupunguza government spending, based on Regan and Thatcher idealogy of free market au Washington Consensus ambazo zilikuwa zina abudu no government on healthcare, education, kilimo and other things. Matokeo yake ndio tukaingia kwenye huu mtalo tulio leo....

Umemtaja Kagame, labda unatakiwa utazama kwanza Waziri wakanzwa wa Finance wa Kagame alikuwa ana taaluma gani? Sasa huyo bwana yupo African Development Bank. Donald Kaberuka amesoma UDSM.... Ukitioa Mr. François KANIMBA ambaye amefanya kazi WB baada ya Genocide kwa 5 years then sasa ndio governor, tazama wachumi wote wa Kagame kama wana historia ya kufanya kazi IMF or WB, Mtu kama Nshuti Manasseh yeye amesha apa kwamba budget ya Rwanda ya 2010/2011 haitachukua hata mkopo hata cent kutoka IMF ....

Let me give you another successefull story in Africa ni Botswana, katikati ya miaka 1990 raisi wa Bank ya Dunia alimshauri raisi wa Botswana kumuajiri governor jamaa ambae alikuwa anafanya WB. Botswana waka disperch interviewer team ambayo ilikuja kumuinterview jamaa ambae final waligundua kwamba jamaa hana credentials zozote za kuwa governor.

Sasa kama tunataka tuendelee kwanza inabidi tuache upuzi wa kuamini kwamba WB or IMF have solution ya matatizo yetu. Tazama MGDs ( Millenium Development Goal) and MKUKUTA utaona kwamba zile PRSP zote zinafanana kwa asilimia kubwa. Kwamba wehu wachache wamekaa chini wakatengeneza wazimu ambao unawaambia kwamba ukiongeza government aide unaweza kureduce umasikini by 50% in less than 10 years. Madhara yake ndio tuliyo nayo sasa JK amekacha agenda zote za MKUKUTA na hakuna anayezungumzia pesa ambazo tumespend kutengeneza hizo strategic plan ambazo hazina kichwa wa miguu...

Ushauri ni mmoja tuu, nao ni kuwaacha wachumi wa nchi wadevelop strategy based on Tanzania landscape and demographic. Na sio kuadopt strategy based on PhD older ambao wapo NY, never live in Kimbiji, know nothing about poverty and they develop their theory based ideology and not realistic. Huwezi kusema kwamba tukireduce government spending toward subsidize kwa wakulima then tuta archive potential growth. Theory za IMF and WB zime based on Investment=Growth which is not the case all the time there are many factors which need to analyzed before get to that conclusion.

Again, tufukuze wachumi wasiweza kuchallenge idea ambazo hazimake sense kama MGDs and MKUKUTA ambazo zimetengenezwa DC and London na wachumi ambao hawajui nothing kuhusu umasikini..

Kuhusu WB na IMF, ninao upeo kiasi fulani. Si kweli kuwa matatizo yetu yalianza 1985.

Kwa wachambuzi ambao wamefanya kazi WB na IMF, matatizo yalianza zamani.

Baada ya vita vya pili vya dunia na mafanikio ya Marshall plan kwenye kusaidia uchumi wa nchi za Ulaya, nadharia mbalimbali za kusaidia nchi masikini zikaanza kujitokeza.

Moja ya nadhani hiyo ilisema kuwa iwapo nchi tajiri zitatoa asilimia ndogo ya mapato yake (let's say 1%) kusaidia nchi masikini, basi nchi masikini zinaweza kutumia pesa kama kichocheo cha maendeleo ya kiuchumi.

Nadharia nyingine ilisema kuwa kama vyombo vya kifedha duniani WB na IMF zikisaidia shughuli za jamii kama vile afya na elimu na maji katika nchi masikini, basi wataalamu na wenye afya wa nchi hizi wataweza kujenga nchi zao. Champion wa nadharia hii alikuwa Robert MacNamara.

Nadharia nyingine ilihusika na maendeleo ya viwanda. Katika nadharia hii ilionekana kuwa kutokana wimbi la umasikini wetu, industrialization ni lazima iongozwe na serikali. Hivyo hata nchi za kipebari na kidikteta kama Zaire zilianzisha viwanda vilivyomilikiwa na serikali.

Mwaka 1968, Robert MacNamara. alichaguliwa kuwa Rais wa WB. Na kuanzia hapo sera za WB zikabadilika na kuanza kuangalia zaidi shughuli za maendeleo ya jamii katika ulimwengu wa tatu.

Moja ya nchi aliyoitunuku ilikuwa Tanzania. Tanzania ilipokea misaada na mikopo mingi ambayo ilitumika katika expansion ya elimu, huduma za afya na maji. Mpaka sasa kuna watanzania wanakienzi kipindi cha 1968-1979 kuwa ni kipindi cha maendeleo makubwa. Lakini wengi wao wanashindwa kutambua kuwa resources zilikuwa sio zetu wenyewe.

Na katika kipindi hiki production ilikuwa inashuka kwa kasi sana. Hivyo production yetu haikuweza ku-sustain matumizi yetu.

Kufikia mwanzoni mwa 1980, misaada kwa huduma za jamii na serikali kumiliki viwanda vya umma vikaonekana kuwa sio PENACEA. Hivyo ikaonekana kuwa ni lazima sekta binafsi iingilie katika. Na vilevile misaada ya huduma za jamii ikaonekana inalemaza watu.

Hivyo kuanzia 1980 kuendelea mpaka 1990, new generation ya misaada na mikopo iliendana na serikali huska kukubali sekta binafsi. Mipango hii vilevile haikusadia sana.

Na kuanzia mid 1990, external investments, multiparty democray, na good governance zikawa zinatiliwa mkazo kama chachu za maendeleo.

Hivyo ninaelewa sera za WB na IMF na negative impacts zake. Lakini pamoja na hayo, mada nzima hapa inazungumzia Experts wetu. Unapofanya kazi WB na IMF sio lazima ufikirie kawa sera za taasisi hivyo zinavyotaka. To think outside the box, ndio key katika expertise yoyote hile.

Kubobea katika uchumi hakutaki juhudi katika implementation of policies. Kubobea katika uchumi ni manipulation of data. Policies mara nyingi zinakuwa evaluated after four years, however data are streaming in real time.
 
Ina maana hakuna dawa au unamaanisha niiulizie kwa Nyani Juliasi?

Ewe Nyani mwenye hekima eti dawa ya kutokuwa hivi tulivyo nini nini?

Dawa zipo lakini ni lazima ukubali kwanza matatizo yako. Unaleta mfano wa Beno Ndulu, wakati unaelewa kuwa jamii yetu ikisitisha kutoa ajira kwa watu kama Ndulu hili watumie akili zao, si ajabu Ndulu akaendesha Guta kama watanzania wengine.
 
Apart from the elaborate Curriculum Vitae presented in this thread I can hardly feel the presence of our economists in my daily undertakings, somebody tell where do they reside(and work for that matter)
 
Kuhusu WB na IMF, ninao upeo kiasi fulani. Si kweli kuwa matatizo yetu yalianza 1985.

Kwa wachambuzi ambao wamefanya kazi WB na IMF, matatizo yalianza zamani.

Baada ya vita vya pili vya dunia na mafanikio ya Marshall plan kwenye kusaidia uchumi wa nchi za Ulaya, nadharia mbalimbali za kusaidia nchi masikini zikaanza kujitokeza.

Moja ya nadhani hiyo ilisema kuwa iwapo nchi tajiri zitatoa asilimia ndogo ya mapato yake (let's say 1%) kusaidia nchi masikini, basi nchi masikini zinaweza kutumia pesa kama kichocheo cha maendeleo ya kiuchumi.

Nadharia nyingine ilisema kuwa kama vyombo vya kifedha duniani WB na IMF zikisaidia shughuli za jamii kama vile afya na elimu na maji katika nchi masikini, basi wataalamu na wenye afya wa nchi hizi wataweza kujenga nchi zao. Champion wa nadharia hii alikuwa Robert MacNamara.

Nadharia nyingine ilihusika na maendeleo ya viwanda. Katika nadharia hii ilionekana kuwa kutokana wimbi la umasikini wetu, industrialization ni lazima iongozwe na serikali. Hivyo hata nchi za kipebari na kidikteta kama Zaire zilianzisha viwanda vilivyomilikiwa na serikali.

Mwaka 1968, Robert MacNamara. alichaguliwa kuwa Rais wa WB. Na kuanzia hapo sera za WB zikabadilika na kuanza kuangalia zaidi shughuli za maendeleo ya jamii katika ulimwengu wa tatu.

Moja ya nchi aliyoitunuku ilikuwa Tanzania. Tanzania ilipokea misaada na mikopo mingi ambayo ilitumika katika expansion ya elimu, huduma za afya na maji. Mpaka sasa kuna watanzania wanakienzi kipindi cha 1968-1979 kuwa ni kipindi cha maendeleo makubwa. Lakini wengi wao wanashindwa kutambua kuwa resources zilikuwa sio zetu wenyewe.

Na katika kipindi hiki production ilikuwa inashuka kwa kasi sana. Hivyo production yetu haikuweza ku-sustain matumizi yetu.

Kufikia mwanzoni mwa 1980, misaada kwa huduma za jamii na serikali kumiliki viwanda vya umma vikaonekana kuwa sio PENACEA. Hivyo ikaonekana kuwa ni lazima sekta binafsi iingilie katika. Na vilevile misaada ya huduma za jamii ikaonekana inalemaza watu.

Hivyo kuanzia 1980 kuendelea mpaka 1990, new generation ya misaada na mikopo iliendana na serikali huska kukubali sekta binafsi. Mipango hii vilevile haikusadia sana.

Na kuanzia mid 1990, external investments, multiparty democray, na good governance zikawa zinatiliwa mkazo kama chachu za maendeleo.

Hivyo ninaelewa sera za WB na IMF na negative impacts zake. Lakini pamoja na hayo, mada nzima hapa inazungumzia Experts wetu. Unapofanya kazi WB na IMF sio lazima ufikirie kawa sera za taasisi hivyo zinavyotaka. To think outside the box, ndio key katika expertise yoyote hile.

Kubobea katika uchumi hakutaki juhudi katika implementation of policies. Kubobea katika uchumi ni manipulation of data. Policies mara nyingi zinakuwa evaluated after four years, however data are streaming in real time.

Da hii shule tamu. Ina mvuto sana. Bado kidongo inikonge moyo. Ila hamira kidogo, kama alivyosema Masihi, huchachusha pishi nzima. Yaani hako kauongo kadogo kameharibu mada nzima. Au kuuongopea umma ndiyo tabia yako ilivyo na, kama Nyani atakavyosema hivi punde, haina dawa kama donda ndugu?
 
Back
Top Bottom