'No, we can't ' - is that what our 'Modern' Economists are advising?

Mtanganyika:

Unconditional aid ina negative impacts kubwa sana kwa jamii kuliko conditional aid.

Mtu au jamii inayosaidiwa unconditionally siku zote haifikirii kuwa siku moja misaada itaondoka.

Unconditional aid inalea viongozi ambao sio responsible. Madikteta na wakiritimba wengi wa Afrika walikuwa madarakani katika kipindi cha 1968-1980.

Unconditional aid inawafanya viongozi wasisikilize nini wananchi wanataka, bali wanatoa mipango yao ambayo haipo compatible na kile wananchi wanachotaka. Mfano mzuri ni Julius Kambarage Nyerere. Katika kipindi hiki alileta programs nyingi lakini hakuangalia miundo ya maisha ya watu. Kwa mfano alilazimisha watu kwenda kwenye vijiji vya ujamaa, wakati mpango mzima ulikuwa ni kinyume na matwaka ya wananchi.

Mpaka sasa unatumia mtazamo wa Nyerere ku-justify kuwa unconditional aid ilikuwa ni nzuri. Mtazamo huu una ukweli kifikra tu. Lakini ukichukua data utaona kuwa kufikia 1979, nchi zote za kiAfrika ikiwemo Botswana zilikuwa bankrupt.

Ukiondoa South Afrika na kuzichambua nchi zingine za kiAfrika, hakuna hata nchi moja iliyofanya vizuri japokuwa katika kipindi hiki kulikuwa na mafanikio katika ongezeko la wasomi na upungufu wa vifo.

Kitakwimu kuwepo kwa nchi za kiAfrika zaidi ya 50 na zote kushindwa kuendelea kwa kutumia unconditional aid, that's not a Coincidence. That's a design (MIAFLIKA NDIVYO ILIVYO).

Una-commit fallacy sasa kwa ku-correlate HIV/AIDS na masharti ya WB/IMF kwenye education. HIV/AIDS ilianza kwa nguvu sana katika mkoa wa Kagera ambao literacy yake haikuathirika na masharti hayo. Mpaka sasa hakuna statistic zozote zinazoonyesha kuwa watu wasomi wako-spared na ugonjwa huu.

Na kuthibitisha point yangu. Mwaka 1978 Tanzania ilikubwa na kipindupindu kilichoenea nchi nzima. Lakini mwaka huu Tanzania ilikuwa na literacy rate kubwa zaidi 90%. Hivyo uniconditional aid ilichofanya ni ongezeko la school enrollment, lakini quality ya elimu hiyo ilikuwa mashakani sana kwa sababu kinga ya kipindupindu ni usafi wa mazingira tu.

Zakumi...
I guess mimi na wewe tunaitaji debate ya kukaa chini on face to face, kama upo bongo nitakuwepo Dar mwanzoni mwa mwezi ujao. I will like to have one or one with you concern the "so called dead aid". I will be more than happy to listen your point of view.
 
Researches zote alizoandika huyo jamaa yako zinahusu Africa au Tanzania. Na zote ziko kwenye applications na hakuna hata moja theoretical.
Mkuu wangu hizo research wewe ulitaka zihusu wapi?....mbona wanishtua mkuu wangu..
 
Back
Top Bottom