No romance without Finance This Friday

No romance without Finance This Friday

Paloma mpenzi wangu, hii naita ni tabia Mbaya huyu mtoto vivian anaandika mambo makubwa kuzidi umri wake. I hope umesoma lakini umepuuuzia mylovely angel Paloma

My sweetheart Paloma huyu vivian Bado ni teenager

Naenda kusema kwa kaka.........,

cc Paloma
Heaven on Earth dada yangu.. huyu wifi yako mie hata simuelewi.. yaan mimba yake inamsumbua.. Anaruka ruka kama pacha wake tumboni.. Na huyu Mlachake mie ninamuangalia tuu..
 
Last edited by a moderator:

Babe,,,,,mie nakupenda tu licha ya kuwa una gubu!

Nna hamu chips za motooo mishkaki na kachumari yenye ndim na pilipili nyiiingi, na peps yenye barafu...........!!!
 
Last edited by a moderator:
Naenda kusema kwa kaka.........,

cc Paloma

.....Wifi zangu mna mambo,(tililili tilililiii) mambo yenu ya ajaaab,(tililiiitililililii) jamani nifanye nini, ooh nifanye nini, paloma nifanye nini, naelewa mazoeaaaa yana tabu, lakini nitajitahidiii kusahau.......kwanza mngejiulizaaa(tilililitililiii)......kipi ananipendea,.....(Tililili tilililii)

Tatizo lako ulikuwa hujazaliwa wakati huu wimbo unaimbwa!
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth dada yangu.. huyu wifi yako mie hata simuelewi.. yaan mimba yake inamsumbua.. Anaruka ruka kama pacha wake tumboni.. Na huyu Mlachake mie ninamuangalia tuu..

hahaa kaka angu sosoliso kama ni hawa mapacha wake basi msamehe bure............

na aliniagiza udongo mwekundu ngoja nikamtafutie
 
Last edited by a moderator:
hahaa kaka angu sosoliso kama ni hawa mapacha wake basi msamehe bure............

na aliniagiza udongo mwekundu ngoja nikamtafutie

Afadhali aendelee kula udongo kuliko hii ya mimba yake kutaman kuku za steers na pizza.. nafilisiwa kaka yako..
 
Last edited by a moderator:
Uzito wa waleti nao Sometimes unahusika tusitiane uongo hapa.
 
.....Wifi zangu mna mambo,(tililili tilililiii) mambo yenu ya ajaaab,(tililiiitililililii) jamani nifanye nini, ooh nifanye nini, paloma nifanye nini, naelewa mazoeaaaa yana tabu, lakini nitajitahidiii kusahau.......kwanza mngejiulizaaa(tilililitililiii)......kipi ananipendea,.....(Tililili tilililii)

Tatizo lako ulikuwa hujazaliwa wakati huu wimbo unaimbwa!
chezea gubu la mawifi weye. Lazima uimbe tenzi zote. Hapo wakwe tunakutazama tu. A
 
hahaha acha ubahiri mzee mwenzangu, hiyo ndio taabu yakuwa na vi serengeti girls vinatafuna noti kama mchwa
kikitafuna noti, nawe unaenda kukitafuna hasa.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom