No romance without Finance This Friday

No romance without Finance This Friday


Hahahaaaaaa sometimes pesa sio kila kitu anaweza kua na hizo pesa halafu kitandani 0

huoni watu wapo kwenye majumba yao lakin kutwa kuhangaika na mashamba Boy wao...

we unadhani ni nini............,
 
Mwanaume gani nilikua nikikutajia pesa unakata mawasiliano

I don't blame you kwa maneno yako ya sasa...mbona hukuyasema hayo then!??

Anyway, kama unataka pesa ya leo nishtue nikutumie baadaye...sinaga kinyongo! (binadamu kusaidiana):flypig:
 
vivian, huu mswaada ukipitishwa tutegemee vile visa vya watu kuvamia mabata, kuku na mbuzi kuongezeka mtaani....Hujawahi kusikia bungeni kuwa wa starehe pekee rahisi ya masikini ni hiyo?? Haya yalitokea wakati waziri fulani (nimemsahau jina) alipokuwa akijibu swali kwanini ongezeko la watu (vizazi) lipo maeneo ya vijijini kuliko mijini....Waziri akasema kwakuwa vijijini hakuna umeme na starehe ni chache na hali ya watu ni duni basi huishia kulala mapema na matokeo yake ni ongezeko la watu kwa kasi kubwa zaidi kwani starehe pekee affordable ndio hiyo......

Back to the topic maana nilidhani nipo jukwaa la siasa.....
Any way...in a way and through life experience...Pesa ina nafasi kubwa tu katiika mapenzi though sio kila kitu kama anavyosema Heaven on Earth...Mie msimamo wangu my dear ni cost sharing kama anavyosema kabanga....Vinginevyo kwenye some difficulties na itakuwa determined na mazingira from time to time.....sio kwakuwa nataka nanilihino basi unitwike majukumu yoote yanayokuhusu....no please...sometimes unakuta vivian ni mjasiria mali mzuri au kaajiriwa somwhere ana make kuliko mimi lakini mitoko kama mitano hata round moja kuzungusha anaona tabu....nop....cost sharing is important....mwishowe tutaanza kuulizana kwani mkuna na mkunwa muona raha ni nani? Kama sote tunafaidi why putting all the costs on my shoulders!
 
mkuu cost sharing is impossible kwa wakike tanzania.. angalau kwa kenya..

hapa kwetu utakimbiwa saaaana.
hilo sio geni ndio maana kukataa kuumizana niliingia katika mahusiano ya kudumu nikiwa kijana mdogo kutokana na misimamo yangu, baada ya kukubaliana kuwa kila kitu kinawekwa mezani kinajadiliwa na nani anabeba nini kinafahamika....
bandugu kwa mtindo huo tumepiga hatua sana, maana inanipa nafasi ya kujiangalia zaidi na familia.
siangalii pembeni....
 
hilo sio geni ndio maana kukataa kuumizana niliingia katika mahusiano ya kudumu nikiwa kijana mdogo kutokana na misimamo yangu, baada ya kukubaliana kuwa kila kitu kinawekwa mezani kinajadiliwa na nani anabeba nini kinafahamika....
bandugu kwa mtindo huo tumepiga hatua sana, maana inanipa nafasi ya kujiangalia zaidi na familia.
siangalii pembeni....

I hope this is true maaana.......................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom