No romance without Finance This Friday

No romance without Finance This Friday

Last edited by a moderator:
Hizi mada huwa zikiletwa humu na wanaume huwa zinapata upinzani sana aisee, lakini leo naona tofauti kabisa full support. No money no honey kweli?

Siku hizi naona mmegundua aina mpya ya kutupunguza wachangiaji, thread nyingi sasa hivi ni za kiingereza tuu, sie saint kayumba lazima tutoke kapa la sivyo tuwe na dictionary kama ya Excel ndo hivo vivian
 
ha ha ha ha Steven Robert Masatu yaani unataka ukatikiwe kiuno bure?
 
Simaanishi hivyo, Ila ninashangaa mada ya namna hii huwa inapingwa sana, wanawake wanasema sio wote Kuna wengine wapo kimapenzi zaidi lakini sio hela za mwanaume.

Sasa leo nashangaa mada hii imeletwa na mwanamke lakini sioni upinzani wowote ule.
 
Last edited by a moderator:
cha kushangaza nini hapo wakati
ni kitu cha akawaida tu
au ulitaka
:shock:

Nadhani hujanielewa vizuri!!!? Ebu fuatilia mtiririko wangu na vivian utaelewa ninachomaanisha.

Hata mie nakubali kwamba no money no honey, but inategemea na mwanamke na mwanamke, vilevile aina ya mapenzi yenyewe yanayotakiwa kwa wakati huo.

Kumbuka sio wanawake wote wanaohitaji hela zetu wanaume Kuna wengine miss independent na wapo njema tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom